Ni 24 December HAPPY BIRTHDAY Baba V

:cheer2::cheer2:HAPPY BIRTHDAY BABA V :cheer2::cheer2:
Jiandae kwa :fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing:
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Baba V na pole kwa kuzidi kulijongelea kaburi.

Mama angekuwa mvumilivu kidogo ungezaliwa na Yesu asee. Umeikosa tikiti ya kwenda mbinguni moja kwa moja bila hukumu.
 
Last edited by a moderator:
Heri ya siku ya kuzaliwa Baba V na pole kwa kuzidi kulijongelea kaburi.

Mama angekuwa mvumilivu kidogo ungezaliwa na Yesu asee. Umeikosa tikiti ya kwenda mbinguni moja kwa moja bila hukumu.

Ahsante babu ODM Asprin ,unajua niliona nachelewa raha za duniani nikaona isiwe tabu,nikatangulia zangu
 
Last edited by a moderator:
:cheer2::cheer2:HAPPY BIRTHDAY BABA V :cheer2::cheer2:
Jiandae kwa :fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing:

Thanks a lot MUPENZI, kwa nini unasema nijiandae kwa mpambano?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…