Msigazi Mkulu JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4,186 Reaction score 3,421 Jan 5, 2016 #21 pendosi said: Kwa mwanasheria Click to expand... Sawa, ni mwanasheria yeyote au ni mpaka mahakamani?
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,013 Jan 5, 2016 #22 mtoto wa maskini said: NHIF ili jipu kubwa sana Click to expand... tena limeiva.
P pendosi Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7 Reaction score 2 Jan 6, 2016 #23 kasigazi kalungi said: Sawa, ni mwanasheria yeyote au ni mpaka mahakamani? Click to expand... Mwanasheria yeyote tu..me niliipata kwa lawyer wa kawaida
kasigazi kalungi said: Sawa, ni mwanasheria yeyote au ni mpaka mahakamani? Click to expand... Mwanasheria yeyote tu..me niliipata kwa lawyer wa kawaida
B bongobongo Member Joined Jul 28, 2015 Posts 82 Reaction score 30 Jan 7, 2016 Thread starter #24 NILITEGEMEA SOMEBODY OUT THERE AT NHIF ANGEWEZA KUJIBU HOJA HZ LAKINI wako kimya tu. Hv hawana afisa habari wakujibu hz hoja. Naomba Mhe. Waziri Wa afya katika ziara zako ufike nhif ni jipu kubwa hl limeiva .
NILITEGEMEA SOMEBODY OUT THERE AT NHIF ANGEWEZA KUJIBU HOJA HZ LAKINI wako kimya tu. Hv hawana afisa habari wakujibu hz hoja. Naomba Mhe. Waziri Wa afya katika ziara zako ufike nhif ni jipu kubwa hl limeiva .
M mwenyeKitu JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 945 Reaction score 772 Jan 7, 2016 #25 Majipu ni mengi walimu tunawapelekea watoto wetu na mishahara. ..wanaishia kufeli tu hata kusoma gazeti hawawezi. .majipu kila mahali.
Majipu ni mengi walimu tunawapelekea watoto wetu na mishahara. ..wanaishia kufeli tu hata kusoma gazeti hawawezi. .majipu kila mahali.