Tulifanya oral mwez May kada zingine waliitwa kazini lakini drivers, secretary na reception mpaka leo kimya, wadau kwa alie na taarifa sahihi atujuze maana wenyewe twaulizana hatupati majib sahihi.
Walishaita,ila nafasi hizo nilizotaja ndio kimya mpaka Leo sijui nini kinaendelea maana walofanya interview kwa nafasi hizo wenyewe wanawasiliana Na hamna alieitwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.