NHIF wana lingine, mtu ame sajiliwa na mfuko huo, makato yana endelea iki maanisha wana taarifa zote kuhusu mwanachama wao cha ajabu ni kwamba,mkali ya uanachama ambayo ndio kitambulisho cha matibabu hawatoi kwa wakati, usipo jitoa muhanga kufuatilia uta zidi kuumia tuu, kwa nini wasiwe wana tutaarifu kwa ,meseji au kupiga simu kabisa kama ilivyo wenye bank?