Ndio maana ikatangazwa kwa umma ,ww unadhani watu watajuaje kama umepita au hujapita kama hakutakuw na mlejesho.Kwani kila interview unayofanya ni lazima majibu yarudi.?
Sasa watu walifanya written interview PPF last year August mpaka leo kimyaNdio maana ikatangazwa kwa umma ,ww unadhani watu watajuaje kama umepita au hujapita kama hakutakuw na mlejesho.
ukifanya interview halafu ukaona kimya ujue hukukidhi vigezo vyao so endelea kutafuta kazi wenzio labda na einiforms washashonewa atiiHabari wana Jamvi
Mnamo tarehe 07/03/2016-10/03/2016 kulifanyika saili ulioendeshwa na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) na kuahid kutoa mrejesho/matokeo ndani ya wik mbili........leo mpaka ivi leo hakuna jipya lolote tulilisikia kuhusu taasisi iyo wakitoa majibu ya written interview(Usaili wa kuandika)
Wakati huo huo mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imeendesha usaili wa kuandika (written interview) tarehe 11/04/2016 na kufanikiwa kutoa majibu tarehe 12/04/2016
Je nini kinashindikana kutoa majibu(Mrejesho) wa written interview NHIF au wanatakata kutuuminisha ile dhana tuliyonayo kuwa usaili huwa unaandeshwa kwa kufata matwaka tu ya kisheria wakati huwa wamepanga ndugu zao??? Kama ni ivyo kuna haja gani ya kuitisha usaili wakati wana watu wao tayari??hawaoni kama wanajitwishwa jukumu la kumsumbua mtoto wa masikini kutoka Musoma/Mbeya/Kigoma na sehemu nyingine nje ya Dsm kuja kufanya kufanya usaili Dar
Watanganyika wenzangu tuwe na huruma huu mfumo wa kutenda ivyo tutakuja kuujibia kwa Mungu kwann humsumbue mtu kuja kwenye usaili akiwa amejibana au kukopa nauli wakati kuna watu wameshaandaliwa???Ile dhana sasa ya kuwa kazi zinatangazwa lakin wana watu wao nimeanza kujiaminia kufatia kucheleweshwa kwa matokeo ya usaili wa Bima ya Taifa ya Afya(NHIF)
Kwa kweli tunahitaji tubadilike vinginevyo damu ya Mnyonge itatutafuna kwa M/mungu
Walichofanya TRA nimefurahishwa sana kutoa majibu kwa wakati muafaka
Sasa unafanya interview nin maana yake?? Kwanin wasirudishe majibu Acha Ushabik kijanaKwani kila interview unayofanya ni lazima majibu yarudi.?
Tatizo Vijana mkiambiwaga na watu wazima tuliowatangulia kuhusu hizi Taasisi za Umma mnakuaga wabishi na kujifanya nyie mtaweza kutoboa.! Ndo mjionee sasaSasa unafanya interview nin maana yake?? Kwanin wasirudishe majibu Acha Ushabik kijana
Jifunze ku-argue mambo ya msingi
Naskia kuna wadau walikua tempo so ile ilikua mbinu ya kuwaingiza kaziniTaasisi zote za umma ni mwendo wakujuana tu hata TRA walitoa majina bila marks walizopata wasailiwa so hakuna uwazi hizi taasisi za umma ziajili kupitia utumishi
wawe na utu hawa watu hivi unamtoa mtu kutoka mkoani wakati unajua kazi tayari zina wenyewe.Naskia kuna wadau walikua tempo so ile ilikua mbinu ya kuwaingiza kazini
Nazan ndo hivyowawe na utu hawa watu hivi unamtoa mtu kutoka mkoani wakati unajua kazi tayari zina wenyewe.
Nani kakudanganya! Interview ya tra imesimamiwa na NBAA ilikidhi vigezo vyote.na majibu yametoka na mark kwa watu wote waliofanya interview..siku zingine usiongee kitu kama hukijuiTaasisi zote za umma ni mwendo wakujuana tu hata TRA walitoa majina bila marks walizopata wasailiwa so hakuna uwazi hizi taasisi za umma ziajili kupitia utumishi
Muongo kwanza TRA majibu yalitoka kwa namba na marks na interview waliiendesha NBAA.Taasisi zote za umma ni mwendo wakujuana tu hata TRA walitoa majina bila marks walizopata wasailiwa so hakuna uwazi hizi taasisi za umma ziajili kupitia utumishi
Acha kukurupuka bara interview ilifanywa na NBAA mara haikufanywa na NBAA hakuna cha kutetea watu wengi tunawafahamu hapo trb wameingia kwa kujuana interview nikutimiza matakwa yakisheria tuMuongo kwanza TRA majibu yalitoka kwa namba na marks na interview waliiendesha NBAA.
Trb ndo nini? Na wapi nimesema haijasimamiwa na NBAA acha uvivu soma uelewe kilichoandikwa.ila wewe ni muongo tra majibu yametoka kwa marks na namba za mtihani...ingia website na NBAA uone majibu acha ujingaAcha kukurupuka bara interview ilifanywa na NBAA mara haikufanywa na NBAA hakuna cha kutetea watu wengi tunawafahamu hapo trb wameingia kwa kujuana interview nikutimiza matakwa yakisheria tu
wewe utakuwa miongoni mwa wanufaika wa mfumo wa upendeleo TRA kama huna MTU huwezi kupata kazi kwanza umekurupuka bila kujibu hoja yangu ya msingi kuhusu upendeleo ktk kuajili kwenye taasisi za ummaTrb ndo nini? Na wapi nimesema haijasimamiwa na NBAA acha uvivu soma uelewe kilichoandikwa.ila wewe ni muongo tra majibu yametoka kwa marks na namba za mtihani...ingia website na NBAA uone majibu acha ujinga