NHIF kazi

Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi"
 
Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni.

sio mbaya ndio lakini anavyoukuwa anapategemea as if ka ahidiwa atapata. ndio maana naona ni bora kama hana anapofanya ni bora atafute kwingine
 
wewe kama hujui kitu bora usijibu watu ambao wako serious wanahitaji kujua,NHIF ndio kwanza wanafungua applications na wanategea kuanza kuita kwa interview february na wala pale huwa hakuna rushwa kama unavyoongea.
 
Back
Top Bottom