NHIF kazi

NHIF kazi

Joined
Jan 17, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Kuna anaefaham kama nhif wameita watu kwenye interview?tafadhal anaefaham ningependa anifahamishe
 
Mwenye update atujuze make wahanga tupo wengi na mi nikiwa miongoni
 
Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi"
 
Kuna anaefaham kama nhif wameita watu kwenye interview?tafadhal anaefaham ningependa anifahamishe

kaka. kazi yako ku apply na kazi yao ni kuita. fanya yako mengine siku wakitaka wataita,labda kama una uhakika wa kupata
 
kaka. kazi yako ku apply na kazi yao ni kuita. fanya yako mengine siku wakitaka wataita,labda kama una uhakika wa kupata

Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni.
 
Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni.

sio mbaya ndio lakini anavyoukuwa anapategemea as if ka ahidiwa atapata. ndio maana naona ni bora kama hana anapofanya ni bora atafute kwingine
 
wewe kama hujui kitu bora usijibu watu ambao wako serious wanahitaji kujua,NHIF ndio kwanza wanafungua applications na wanategea kuanza kuita kwa interview february na wala pale huwa hakuna rushwa kama unavyoongea.
 
Back
Top Bottom