NHIF: Haya ndiyo maswali ya interview

NHIF: Haya ndiyo maswali ya interview

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Kutoka kwa mmoja wa wale ambao walioshiriki kwenye interview
za bima ya afya (NHIF) mwaka 2012, haya ndiyo maswali yao:
1. what will be your duties and responsibilities if you get employed?
2. what is your weakness?
3. how will you help NHIF?
4.
5.
6.
MWINGINE ANAYE KUMBUKA MASWALI, AWASAIDIE WADOGO ZETU TAFADHALI.
 
Wacha kukariri wewe,

Hao NHIF wametoa vacancies kwenye categories zaidi ya 5 tofauti, tuseme wote wataulizwa maswali hayohayo tu ya kufanana?
 
Jaman eee embu jifunzen Ku appreciate hata kidogo u never know labda section B utayakuta je..yy katoa kwa waliofanya interview 2012 sio km ndo yy katunga nyie vip..
 
hayo maswali mbna ni oral?leta kwanza written.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom