eddocreater
Member
- Aug 31, 2012
- 65
- 18
wameandika kuwa wameliweka pia kwenye site yao,ingawa sijaingia huko kuangalia kama lipo au la.Jamani hilo tangazo tunalionaje tofauti na gazetini! Nishaperuz mpaka simu inanishtukia!!! Msaada tafadhali wakuu!!!
basi wamezingua,labda wataliweka.Kwenye site yao hakuna mkuu tayari nimekagua kule
kama wakienda watu wengi tofauti na matarajio yao na wakasema tunataka watu idadi fulani tu, wengine muondoke, je bado utasema wako fair?
Unatangaza kazi, unakaa miezi kibao then unasema njoeni wote kwa interview... Mda wote huo ulikua unasubiri nini???ulikua unatafakari???
Wadau naomba mrejee barua yangu ya wazi niliyotuma kwa ma H R ..ki ujumla huu ni usumbufu wa hali ya juu..kama walilijua hili kwa nini watupotezee muda wa kuandika na kuingia gharama za kutoa copy,nauli posta pamoja na kupiga paspoti size? Kama walikuwa na lengo la kufanya open recruitment kwa nini wamechukua muda mrefu hivyo..basi bora hata wangechukua sample tungewaelewa coz nna wasi wasi na hiyo interview itakuwa ya magumashi!!
huko sahihi mkuu, je ukifika umesafiri kutoka may b kagera mpaka dar unaambiwa barua yako haionekani hapo inakuwaje sasa? na kwa nn waweke deadline ile ya tarehe 27/12/ 2013? kulikuwa na maana gani ya kuwepo?
he! mmefanya interview? ipi? na lini?
Mh hujanielewa!
Mh hujanielewa!
Hata sikumbuki niliomba nafasi gani
Remind me please ni nafasi gani walitangaza kweli!!
Na usaili unafanyikia wapi?
Tarehe ngapi?? Na mahali pia
asiye na maana haambiwi maana. wewe huku apply au unataka tukuambie una elimu gani
General knowledge tu na masuala ya bima ya afya na health financing in general.