NHIF call for Interview

Mm niliapply planning n investment officer,kwenye list walotoa gazetin haipo,ishachukuliwa?au wameshau?huu usail wizi mtupu
 
Hapo wanapunguza watu kijanja...
kama lengo ni kupunguza watu si wangetumia utaratibu mzuri tu ambao hautaleta usumbufu kwa walioomba kazi,huu utaratibu wao utasumbua sana,watu wanaweza kuingia gharama ambazo hazitakuwa na msingi.
 
duuuh,kumbe hadi haya yapo tena...?

Nimesoma mara mbil mbil sion ppst niloapply nikasema labda nimesahau niliapply nin,nikaenda kwenye tangazo lao nimekuta Planning and Investment officer 1post,,itakuwa kapewa mtu nafasi,,ila naamin waliaapply weng hiyo post,km wameona kwenye usail ipp,naomba wanijulishe ila mm sijaona
 
Tanzania Episcopal Conference Center (TEC), Kurasini......hili eneo liko wapi kwa anaejua....unapanda gari za wapi unashuka wapi...
 
yani mimi ndo nlishasahau hata post niliyotuma!! Alaf hiyo style yao kiukweli sio nzuri!! huu ufisadi sijui utaisha lini...Mungu ni mwema lakini! kama ipo ipo tuu....
 
Habar zenu...haya jaman tumeshaitwa woooote tuliofanya application for written interview..haya tuambien kwa wanaofahamu maswali yao yanakuwaje?na yamebase kwenye nn?asanten
 
Kama wataruhusu kila
mtu kufanya interview hapo sawa,hofu yangu ni pale ambapo mtu atafunga
safari toka mkoani kuja halafu anafika siku hiyo anaambiwa kuwa
hakukidhi vigezo,hapo itakuwa tatizo.

mbaya mtu utoke kigoma au mwanza duuuuh......
 

Mkuu hao NHIF ndivyo walivyo,washenzi wa kutupwa. Mwaka juzi walifanya hivyo hivyo,na tayari wanakuwa na watu wao. Ishu ni kuwa hata kama mtu waliyempa kazi hakuhudhuria usaili utakosa namna ya kuhoji si kunakuwa hakuna referance maana hawakutoa majini. Haya ni matokeo ya serikali yenye uongozi dhaifu wa Tanzania.
 
Wadau naomba mrejee barua yangu ya wazi niliyotuma kwa ma H R ..ki ujumla huu ni usumbufu wa hali ya juu..kama walilijua hili kwa nini watupotezee muda wa kuandika na kuingia gharama za kutoa copy,nauli posta pamoja na kupiga paspoti size? Kama walikuwa na lengo la kufanya open recruitment kwa nini wamechukua muda mrefu hivyo..basi bora hata wangechukua sample tungewaelewa coz nna wasi wasi na hiyo interview itakuwa ya magumashi!!
 

wewe nenda ukirudishwa basi ukifanya poa..
 
Unatangaza kazi, unakaa miezi kibao then unasema njoeni wote kwa interview... Mda wote huo ulikua unasubiri nini???ulikua unatafakari???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…