NHIF bado kimya?

Kwa jinsi ulivyo na kiherehere na hyo nhif,utakavyokatwa hutoamini.muulize lowasa akuhadithie machungu ya kukatwa yalivyo.
 
hawa jamaa mbona bado wako kimya tu?
We umemaliza chuo mwaka jana nini.? Bado hauna experience ya interview eeeh.! Utazifanya sana hizo utaitwa mpaka B.O.T, T.R.A au TPDC kitakacho kutokea hutoamini., Upatikanaji wa ajira ni zaidi ya ujuavyo na ufikiriavyo.! Inshort usipoteze muda wako kuwaza NHIF maana ni sawa na kusubiri meli Airport..,, mkiambiwa ajira ngumu mnajibu viburi na kujifanya nyie mna akili mtafaulu interview mtachukuliwa. Wakubwa wenu tunawaambia hayo kwa sababu tumepitia huko, bila connection na ela ndefu ya kuhonga sahau kupata katika mashirika makubwa ya umma. Mnaweza mkakaa mpaka Desemba msisikie chochote kuhusu NHIF
 
umeongea mengi lakin umesahau kuwa kila mtu ana bahati yake.wewe kuchelewa kupata kazi haijustfy kila mtu atachelewa kupata kazi
 
Well Said mkuu mtu mwingine anajiona mwenye akili Kwa sababu katoa Uchi kwa watu waliokua wanasimamia paper na anajipa confidence kumbe kazi ni zaidi ya Interview. Kuanzia 4Million unapata kazi nzuri tuu.
 
Ushahidi ni Mtihani wa Kuchagua watu hupata Marks 60 lakini paper ngumu ya maelezo watu wanapata hadi 96 kumbuka ni (maelezo)
 
umeongea mengi lakin umesahau kuwa kila mtu ana bahati yake.wewe kuchelewa kupata kazi haijustfy kila mtu atachelewa kupata kazi
hahaha hakuna bahati katika maisha ya sasa hivi., sahau kuhusu bahati.! Ukitaka kazi sehemu nzuri ni mchongo tu bhasi., by the way sijachelewa kupata kazi. Nilimaliza Chuo mwezi wa 7 mwezi wa 11 nikaanza kazi, hiyo ni miaka 5 iliyopita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom