NHC... Just FYI

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878

TABLE OF CONTENTS
LIST OF ACRONYMS/ ABBREVIATIONS

1 EXECUTIVE SUMMARY...........

2 INTRODUCTION AND BACKGROUND.

2.1 INTRODUCTION..............
2.2 NATIONAL HOUSING CORPORATION (NHC)
2.2.1 Functions of the corporation....
2.2.2 Organisation structure..........

3 APPROACH AND METHODOLOGY............
3.1 AUDIT OBJECTIVE...................
3.2 SCOPE OF ASSIGNMENT...............
3.3 AUDIT METHODOLOGY.................
3.4 LIMITATIONS OF AUDIT WORK.........

4 AUDIT FINDINGS AND RECOMMENDATIONS..
4.1 CAPACITY OF THE PE................
4.1.1 Status of PMU and Tender Board..
4.1.2 Staff establishment and qualifications
4.1.3 Knowledge of PPA 2004 and PPR 2005....
4.1.4 Internal audit system.................
4.1.5 Level of computerisation and office space.
4.2 PROCEDURES, PROCESS AND DOCUMENTATION OF PROCUREMENT AND CONTRACTING...
4.2.1 Procurement Planning.............
4.2.2 Preparation of tender documents..
4.2.3 Advertisement of tenders and tender opening..
4.2.4 Appointment of Evaluation committees.........
4.2.5 Evaluation of proposals/ tenders.............
4.2.6 Conflict of interest.........................
4.2.7 Notifications of tender awards...............
4.2.8 Handling of tender negotiations..............
4.2.9 Contract management..........................
4.2.10 Handling of complaints......................
4.2.11 Contract splitting..........................
4.2.12 Receipt of goods............................
4.2.13 Record keeping and reporting................
4.3 COST OF ADMINISTERING PROCUREMENT PROCESSES....
4.4 ISSUES NOTED IN QUOTATIONS.....................
4.5 PRICES AND PAYMENT.............................
4.6 PROCUREMENT PERFORMANCE INDICATORS.............
4.7 RECOMMENDATIONS FOR IMPROVEMENTS...............
 

Attachments

  • NHCPPRA.jpg
    19.8 KB · Views: 477
  • NHC Final Report.zip
    378.4 KB · Views: 641
Mkuu, katika suala la manunuzi ya umma kuna mapungufu mengi sana kwenye hizi tasisi husika, ingawa sheria hii mpya (ya manunuzi ya umma) na taratibu zake zimeanza kuwepo kwa zaidi ya miaka mitatu!
Sijui ni lini kila kitu kitaelweka kwa watendaji wetu!
 
Inaweza kusaidia mkuu.

Naombwa na wadau kutoa ya TANROADS... Let's give it time guys. Ngoja kwanza iendelee hii

BTW, PPRA wanastahili heko kwa reports zao hizi!
 
Mhhhhn!
Yangu macho mtakuja nambia.... Je wananchi wanalifahamu hili?
 
Procurement kwenye mashirika yote ya umma haiko kwenye taratibu zinazokubalika hili utalikuta katika kila shirika ambalo linamilikiwa na serikali kwa sababu ndo njia pekee ya watu kupata ulaji.
 
Procurement kwenye mashirika yote ya umma haiko kwenye taratibu zinazokubalika hili utalikuta katika kila shirika ambalo linamilikiwa na serikali kwa sababu ndo njia pekee ya watu kupata ulaji.
http://dailynews.habarileo.co.tz/home/index.php?id=4943
Within a year every expenditure almost doubled and the situation worsen on "Management remunerations". One could reason because of sensitivity of health sector but ...?!?!?!http://dailynews.habarileo.co.tz/home/index.php?id=4943
 
CV za hao maafisa wa NHC ni za juu sana, hata haikutegemewa watu wa level hiyo wawe wanafanya vitu kienyeji hivyo, eti hakuna hata annual procurement plan, sasa utawapata vipi wazabuni? ndiyo mambo haya ya kwenda kununua vitu/huduma kwenye mradi wako au wa rafiki au mtoa rushwa.
 
Duuuuuuuuuuuuuuh; kwa mtindo huu kweli nchi inaendeshwa kienyeji, tumeshangaa ya Richmond na EPA, ukweli mtu akifuatilia kwenye mashirka mengi ni uozo mtupu.

Watu wanasoma na wana CV nzuri lakini wanafanya madudu matupu.

Njimba,
 
NATIONAL? Nyumba watu wanarithishana wataziitaje National.

Na kuna hii ilinifikia...

 
National housing inabidi ibadilishwe jina maana mtazamo wao hupo kwa race fulani ambayo imesheheni kwenye nyumba zake lukuki hasa zilizopo prime areas za jiji. Mbaya zaidi hawa watu wamekuwa wakifanya extension za nyumba hizo na hata kudiriki kumega sehemu za barabara si ajabu miaka si haba hizi barabara za mitaa zikazibwa kwa bawabu kubwa tu. Tembelea maeneo ya upanga utaona mabadiliko hayo... angalia fencing ilivyopinda pinda, nguzo za umeme zilizo kando barabarani sasa ziko ndani ya wingo wa baadhi ya nyumba..
 
Mkuu invisible, tunaweza kupata data kama hizi zinazohusu MSD?
 
Mkuu invisible, tunaweza kupata data kama hizi zinazohusu MSD?

.... inawezekana kilicho kwenye makaratasi ya sirikali hakiendani na kilicho kwenye makaratasi ya walaji

CONNECTING THE DOTS IS KEY TO SAVINGS AND ACCOUNTING FOR PUBLIC FUNDS... ESPECIALLY FOR CONSUMABLE, WHERE SOMETHING IS AVAILABLE TODAY AND NOT TOMORROW
 
Last edited:
na kurithishwa si chini ya millioni tatu, hasa pale shekilango!sijui hiyo kitu bado inaendelea.


Oh yeah!
Ila sio kwa million tatu, maana kuna mtu aliahidiwa zaidi ya million 10 na muhindi ili ahame akakataa. Watu wanasubiri wauziwe, tena kwa bei poa; 10 million is nothing!
 
Shirika hili lina makandokando mengi sana limekuwa la watu wachache tofauti na wanavyojinasibu kuwa ni la watanzania wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…