Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 831
Mmeniudhi sana,mimi ni mpangaji wenu more than 10yrs.Ijumaa iliyopita nimerudi nyumbani nimesikia mmepita kufuatilia kodi zenu which is okay lakini approach mliyoitumia haikuwa ya kiustaarabu.
Yaani mimi mwenye nyumba hamjanikuta ila mmekuta wageni ( mbaya zaidi toka ukweni) hawajui chochote,mmeanza kupiga mkwara kwamba ninadaiwa kodi ya mwezi mmoja na mwisho ni Jumatatu ya leo!!!
Hapa hakuna cha zaidi ya kudhalilishana,Nimewashangaa sana. Pamoja na kukua kwa teknolojia na contacts zetu mnazo kweli mmeshindwa kabisa kuwa professional?
Nimerudi nimekuta hizo salamu toka kwa wageni wangu,they are not in the picture at all.Je hizi information si ni kati yangu mliyenipa mkataba na nyie?
Ni haki kumwaga hadharani taarifa zangu hata kama kwa ndugu zangu??
Huu ni ustaarabu gani?