Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,886
- 5,624
Hauko current na habari hivyo endelea kunywa ulanzi wako!Mbona sasa hata weqe mwandishi wetu wa JF umetuwekea habari pasipo kuanza na foundation?
Hatujasikia hizo habari. Iweke kwa weledi na ukamilifu na sisi tuweze kuchangia. Hapa tumeishia kusoma hisia zako tu. No objectivity.
Mkataba wa upangaji unaruhusu watu kuuziana hiyo haki ya upangaji? Tusirudi enzi ziĺe za mtu ukuwa tapeli /Fisadi unasifiwa kuwa mjanja wa mjini.nimeiona hiyo taarifa imeripotiwa tofauti kabisa kwa uelewa wangu yule jamaa alikuwa hauzi hiyo nyumba bali alikuwa anuza haki yake ya kupangisha hiyo nyumba. Hizo nyumba za NHC watu wanauziana sana haki ya. kupangishana kimyakimya
vyovyote itakavyokuwa gharama anapaswa kulipwa NHC, iwe kodi marekebisho ama
upuuzi wowote hii tabia inapaswa ikome
Hatujasikia hizo habari. Iweke kwa weledi na ukamilifu na sisi tuweze kuchangia. Hapa tumeishia kusoma hisia zako tu. No objectivity.
Labda tatizo liko humo maofisini na sio kwa watu...inawezekana hata hao wa mtaani wakiingia ofisini nao watakuwa wahuni..Tanzania pekee ndio imejaa watu wahuni wengi maofisini, waadilifu wengi wapo mitaani