Nguzo za vyuma

Nguzo za vyuma

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Wadau, habari zenu?
Hivi naweza kupata wapi nguzo imara za vyuma kama zile zinazotumika kutengeneza stand za daladala za magari yaendayo kasi (STRABAG).
Na zinauzwa bei gani kwa nguzo moja na nuts na bolts zake?
Nahitaji kwa ajili ya kujengea sehemu ya kuweka tanks za lita 15,000 za maji. Hizi nguzo za chuma za uswazi naona zinapata kutu mapema, pia si imara.

Kuna architect alinipigia hesabu kwamba inatakiwa 4,000,000 Tshs kujenga nguzo nne za cement na slab yake. Duh!
 
Back
Top Bottom