Nguzo za CHADEMA Arusha .........

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Wanajamvi kinachoendelea sasahivi arusha ni ukatili kwa vijana na wala wote wanao julikana ni wasaidizi wa lema na wanao kiunga mkono chama cha chadema.

katika hili mkuu wa mkoa wa arusha na makachero wa polisi kitengo maalum

vijana wanakamatwa hovyo viongozi wa chadema wanashikiliwa hovyo kwa siku kadhaa bila kfikishwa polisi wala mahakamani kunasehemu maalm wanapelekwa.

magari na pikipiki zilizowekwa nembo za zinakamatwa hovyo bila makosa.

wafanya biashara wanaoisapot chadema wanafatiliwa hovyo na kutishiwa salama wa biashara zao.

vijana wanatishiwa kila siku hasa waendesha bodaboda.

húu ni unyanyasaji unaofavywa kwa sasa,nakwa stail ya aina yake.

tunawaomba viongozi wa chadema kanda ya kaskazini kulitolea hili sala mwongozo.
 
ccm ni mfa maji haishi kutapatapa, wanatafuta pa kuponea kila njia imeziba hawana pa kupumulia ndio maana wanakuja na mipango yao miovu wakifikiri ndio njia pekee ya kupambana na CHADEMA.

LORI LIKIKATA BREKI KWENYE MTEREMKO HALIZUILIWI NA BAJAJI
 

Mkuu, jenga utamaduni wa ku-edit kazi kabla ya kuipost. Hapo umeruka ruka sana kiasi ambacho mtu hajui unamaanisha nini
 
ccm ni mfa maji haishi kutapatapa, wanatafuta pa kuponea kila njia imeziba hawana pa kupumulia ndio maana wanakuja na mipango yao miovu wakifikiri ndio njia pekee ya kupambana na CHADEMA.

LORI LIKIKATA BREKI KWENYE MTEREMKO HALIZUILIWI NA BAJAJI

Mkuu, hayo ndo madhara ya kutingisha nguvu za vyombo vya dola. mlichokoza wenyewe mnajibiwa mnaanza kutapatapa. CUF walijaribu sana kule Mtwara na baada ya kuanza kushughulikiwa sasa wanaweweseka.
 
Wakamate, wanyanyase siku ya siku itafika: Ni sanduku la kura tu ndio mwamuzi. Acheni wananchi wajitafutie posho kwa njia za halali vitisho havibadilishi nia na dhamira ya mtu!
 
Hizi mbinu zisiwatoe kwenye kusudio lenu bado mtabaki wapenzi na wanachama wa chama watiifu ,hila hizi wala msiziogope kamwe zinapita endelezeni harakati zenu kupitia chadema na mtafanikiwa
 

mkuu sijakuelewa unataka nini na unalenga mimi kwa nini mnapenda sana kutetea waharifu.
 
Huko ni kutapatapa kwa mfa maji. Wao wanafikiri hilo ni suruhisho kumbe ndo wanaharibu zaidi. Chuki zinaongezeka, zitajibu kupitia sanduku la kura.
 
Makamanda ikithibitika hilo tunaingia moja moja mtaani toka arusha mpaka magogoni ndo itakapokuwa tahrir square, kwanini misri waweze na tanzania tushindwe? Tuseme inatosha na tumechoshwa na siasa uchwara.
 
mkuu sijakuelewa unataka nini na unalenga mimi kwa nini mnapenda sana kutetea waharifu.

Kitu gani hapa huelewi au ndiyo unatuambi uwezo wako ni mdogo kwa kiwango hicho? Ficha Udhaifu wako.
 
Tutaiga wa misiri uzalendo ushaanza kunishinda sasa!
 
Makamanda ikithibitika hilo tunaingia moja moja mtaani toka arusha mpaka magogoni ndo itakapokuwa tahrir square, kwanini misri waweze na tanzania tushindwe? Tuseme inatosha na tumechoshwa na siasa uchwara.

Kichwa chako kina matope wewe.
 
Hizi mbinu zisiwatoe kwenye kusudio lenu bado mtabaki wapenzi na wanachama wa chama watiifu ,hila hizi wala msiziogope kamwe zinapita endelezeni harakati zenu kupitia chadema na mtafanikiwa
Kamata LIKE mkuu HUGO CHAVES
 
Last edited by a moderator:
Misri wenyewe yamewashinda. Wajinga ndiyo mtaiga ujinga wa Misri mimi aaaaah
 
Eti nguzo kunanguzo gani chadema wamesimika arusha kama siyo maneno ya kujifariji tu.

mtabaki kutunga uongo tu ambao watanzania hautawaingia kamwe.
 
Kitu gani hapa huelewi au ndiyo unatuambi uwezo wako ni mdogo kwa kiwango hicho? Ficha Udhaifu wako.

unaujua udhaifu wewe au kitendo chako cha kuwa bavicha akili haifanyi kazi vizuri.
 
Eti nguzo kunanguzo gani chadema wamesimika arusha kama siyo maneno ya kujifariji tu.

mtabaki kutunga uongo tu ambao watanzania hautawaingia kamwe.

Mbona unatokwa na mapovu wewe?! Au ni mmojawapo wa hiyo mission!!
Mmejulikana tayari...
 
Mkuu, hayo ndo madhara ya kutingisha nguvu za vyombo vya dola. mlichokoza wenyewe mnajibiwa mnaanza kutapatapa. CUF walijaribu sana kule Mtwara na baada ya kuanza kushughulikiwa sasa wanaweweseka.

walichokozaje?!
- hivi ni lazima ujadili lolote linalohusu CHADEMA hata kama hulielewi???
 
Watashindana lakini hawatashinda....Ni kama vile wanawajaza hasira hao vijana, ndugu na jamaa zao,,,,Hata wakifanyaje mawe yatainuka na kuipigia kura CHADEMA,,,,,Wadau ukombozi si lelemama na mjue kabisa kwamba sasa ndo PEAK tunatakiwa kugangamala maana umebaki mkia,,,CCM lazima wang'oke,,,

Kauli mbiu 2015 CHADEMA USHINDI NI LAZIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…