mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 99
Nguzo mmoja ni sh 200000Sujakuelewa hapo nguzo moja ni sh laki mbili au kila mtu kaambiwa achange laki mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zinahitajika nguzo 15 mkuu hiyo ni project maana kwa sheria za tanesco kuanzia nguzo 8 ni project inahitaji viongozi au wakuu wa idara waiandikie taarifa ili kuiombea hela kazi hiyo!Nguzo mmoja ni sh 200000
Na zinatakiwa nguzo 15 ili tuupate umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"Akuna umeme tangu kuuumbwa kwa dunia" hyo sola inatoa maji au gas?
young kilimanjaro
Subiri umeme wa REA.
Ndio nini hiyo?
Poleni sanaTuliambiwa kuwa umeme wetu ni wa REA tumeshangaa wamebadilishwa
Nipo mtaa wa mbondole jimbo LA ukonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini kwetu hakuna umeme pia na tulipofuatilia tuliambiwa nguzo ni laki mbili inabidi tuzilipie, baada ya kupima tumeona zinahitajika nguzo tatu kutoka barabarani.Huo sio utaratibu wa TANESCO. Nenda ofisi ys karibu ya TANESCO Upate utaratibu ukishindwa mwone menejacwa TANESCO Eneo husika, maana unapoelekea ni kutapeliwa. Namba za mameneja wa TANESCO wa kila eneo zinapatikana katika website yao
Hao ni definetely VISHOKA
Ndo alichoandika mkuu mi pia sikujui soma uzi wakeNdio nini hiyo?
hatarii[emoji116] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Subiri umeme wa REA.
Ok
Hajui umeme ninini. Kuna maeneo hawajawahi kuona gari wamezoea kuona malori tu!"Akuna umeme tangu kuuumbwa kwa dunia" hyo sola inatoa maji au gas?
young kilimanjaro
Hii ni serikali ya awamu ya tano. wape mzee upate umeme. mimi nimeambiwa milioni moja (1,000,000/=). nguzo 2 na wameomba rushwa ya sh 250,000/= waniletee harakaKwenye mtaa wangu ninaoishi hatuma umeme toka kuumbwa Kwa Dunia . tumejaribu kufuatilia toka mwaka Jana mpaka Leo hakuna hata dalili
Ila kuna mdau ametudokezea ili tuletewe umeme sharti tujikusanye wakazi wote wa huu mtaa tuchange kila mtu sh 200000 Kwa ajili ya nguzo
Bado kuvutiwa umeme kuingia ndani
Swali
Langu je ni halali kuuziwa nguzo sh 200000?
Au Mimi niendelee kutumia soral
Au tanesco wanatuibia ?
Naomba kuwakilisha kwenu mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app