M mwanamabadiliko JF-Expert Member Oct 30, 2010 843 1,363 Nov 3, 2010 #1 first lady ampelekea nguza sabuni jela, ila haijajulikana maana uchaguzi haujaisha sasa sijui ni wa NCCR au CHADEMA au APPT au CCM mi sijui. ila anawakaribisha mafisadi jela:evil:
first lady ampelekea nguza sabuni jela, ila haijajulikana maana uchaguzi haujaisha sasa sijui ni wa NCCR au CHADEMA au APPT au CCM mi sijui. ila anawakaribisha mafisadi jela:evil:
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,579 8,600 Nov 3, 2010 #2 Huo udaku weka picha hapa!halafu haifai kwa mwanamume!!!
TANMO JF-Expert Member Apr 12, 2008 11,515 11,277 Nov 3, 2010 #3 KakaKiiza said: Huo udaku weka picha hapa!halafu haifai kwa mwanamume!!! Click to expand... Hiyo avatar yako mkuu nimeikubali..
KakaKiiza said: Huo udaku weka picha hapa!halafu haifai kwa mwanamume!!! Click to expand... Hiyo avatar yako mkuu nimeikubali..
drphone JF-Expert Member Sep 29, 2009 3,542 281 Nov 4, 2010 #4 Ndugu said: Hiyo avatar yako mkuu nimeikubali.. Click to expand... we angalia preta moyo wake umeshachakachuka juu ya avatar hyo be care na anajua akishapendaga anakuwa teja
Ndugu said: Hiyo avatar yako mkuu nimeikubali.. Click to expand... we angalia preta moyo wake umeshachakachuka juu ya avatar hyo be care na anajua akishapendaga anakuwa teja