ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Heee wanachakachua nguvu za kiume? hebu fafanua
Tutasema nguvu iwapo Sina virutubisho na cell zake...siku hizi janga la taifa punyeto, novida na kitu chipsi yai unategemea kuna virutubisho hapo.??? Michepuko kama foleni ya chalinze to darSijakusoma binti mzuri
Vyakula vya nguvu nyie mwasema weka mbali na watoto vibao vya waganga vimeshamir Wanaongeza nguvu za kiume....
Kula misosi ya nguvu na mazoezi malalamiko yapungue