Nguvu za kiume

Nguvu za kiume

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Habari ya mchana kutwa wana MMU...

Kumekuwa na habari nyingi zisizo za kitaalamu kuhusu nguvu za kiume.

Wengi hawajui tukisema nguvu za kiume tuna maanisha nini hasa.

Hii imewafanya wanaume wengi kushindwa kujiamini na kubaki wakitangatanga bila msaada.

Mtu akisikia pweza yupo, karanga mbichi yupo, kahawa yupo, asali ya nyuki wadogo + mdalasini utamkuta n.k mpaka unamuonea huruma uyo muhusika.
OK, sio inshu saaana, wataalamu wa afya wanasema kuwa mwanaume mwenye uwezo wa kuingilana kimwili na mwanamke na akapizi kuanzia mara 3 basi hakuna shaka kuwa na nguvu za kiume za kutosha.
Acheni kuibiwa pesa na waganga wa jadi na kutanga tanga ovyo.
Hope mmenielewa vyema.
 
Hujaeleweka, hebu weka picha tafadhali...
 
Halafu utasikia tu nguvu za kiume, na nguvu za kike je? I am gender sensitive eti.
 
Bao 3? Zote hizo za nini? Unashindana na k? Itakutoa knock out! Piga moja ndefu yenye akili hata timu pinzani itakuwa hoi na majibu hakuna!

Moja ndefu yenye akili ikipatikana ni vzr. Ila wale wanaojiachia wanahesabiwa kwa 3
 
Kumbe, na nguvu za kike zinakuwaje sasa....

Awe na uwezo wa kuhimili dudu nyembamba nene na ndefu pia awe na uwezo wapiga goli zaidi ya mbili. Wanawake wengi akikojoa mara 1 tu hatak tena kuendelea na mechi utasikia "nimechoooka! Tupumzike aah maliza basi mwenzio cwezi kuendelea tena au leo umekula nini?"
 
Hujaeleweka, hebu weka picha tafadhali...

pic-dump-233-7.jpg
 
Nguvu zenywe zimekuwa maji washachakachua
 
Back
Top Bottom