nguvu za kiume

nguvu za kiume

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?
 
nenda jukwaa la doctor kuna majibu mazuri apa utakutana na watu wenye stress watakujibu vibaya na kucheka
 
wataalamu wa mambo hayo wanajitangaza sana kwenye magazeti ya udaku. We fatilia uko
 
Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?
Mkuu omereyo hujatueleza kuwa

una Umri wa Miaka Mingapi? Matatizo yako ya Upungufu wa nguvu za kiume yamekutokea kwa muda gani? ulisha wahi

kupiga Punyeto?Na kama ulisha wahi kupiga Punyeto Je Bado unaendelea kupiga Punyeto? Umesha pima ugonjwa wa

Pressure? Umekwenda Hospitali kupima ugonjwa wa Kisukari? kwenye familia yenu

kuna mtu yoyote mwenye Ugonjwa wa Kisukari? Ninaomba hayo Majibu yangu kwanza.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNASABABISHWA NA HAYA HAPA CHINI:

Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na magonjwa ya Moyo, Kisukari, Mafuta Mengi

Mwilini (high cholesterol), Uvutaji S igara, Matumizi ya Madawa ya Kulevya, Matatizo katika

uhusiano, Mawasiliano Duni na Mwenza Wako, Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa Mawazo,

Wasiwasi (anxiety),Unywaji Pombe,Upungufu wa Homoni aina ya Testerone, Kuongezeka Uzito au

Uzito Uliopitiliza, Tabia ya kujichua kwa muda mrefu Punyeto (Masturbation) nk.

Kawaida baada ya tendo la ndoa, uume wa mwanamume yoyote hulegea na kusinyaa kwa muda

kabla ya kuweza kusimika/kupata mdiso tena, mazingira, saikolojia na hali ya mwenza wako ndio

huchangia kuweza kusimika/kudisa tena kwa haraka au kuchelewa kudisa tena.

UKITAKA DAWA ZA KUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NITAFUTE KWA WAKATI WAKO.
 
Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?

Umejuaje, imeanza lini, je unasehemu zaidi ya moja? je zote sawa? matukio saa? nk kuna tofauti gani kabla na leo................ kuna mengi unapaswa yasema, usije tamani story za kijiweni ingahari wewe jabari!!! background please!!!
 
Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?
Pole sana jaribu dawa hii.
Punguza kula vitu vyenye mafuta na sukari halafu tafuta pweza baada ya kumsafisha mchemshe kunywa supu yake na kula nyama yake jaribu kwa wiki 2 halafu tuarifu jamvini
 
Nina miaka 29,sina magonjwa hayo ila nimeshawahi kuwa na depression.
Good umri bado unadai kabisa, sasa hakikisha unapata asali ya ukweli(halisi) haswa ya nyuki wadogo (unaweza kuipata pale ofisi za maliasili idara ya misitu) ponda vitunguu swaumu tembe nne na mdalasini wa unga kiasi kidogo changanya na vijiko viwili vikubwa vya asali asubuhi na jioni kwa wiki mbili. Pia ondoa hofu kabisa ya hilo jambo linakwisha kabisa. Pole ndugu yangu.
ANGALIZO: LAZIMA UONGEZE UWEZO WAKO WA KUNYWA MAJI YASIO YA BARIDI, AT LEAST KWA SIKU LITA 3. AMINI UMEPONA KABISAAAAAA.
 
ukitaka kupona kwanza hama ccm, na pia chukia ufisadi na madhambi y akina mwigulu then utapona dakika hiyohiyoa. ameen!
 
ukitaka kupona kwanza hama ccm, na pia chukia ufisadi na madhambi y akina mwigulu then utapona dakika hiyohiyoa. ameen!

Be serious mkuu, msaidie mwenzako kama unayo solution. Kuna mada za utani na nyingine si za utani.
 
litle john, u b serious, im i a doctor! af u never knw may be is a gay ila hajijui. let hm learn frm hm self. get me?
 
Back
Top Bottom