Nguvu za kiume

Ron Abel

Member
Dec 17, 2015
18
0
Guys unajua nguvu za kiume tunaweza sema ni utendaji wa misuli kwenye uume ambapo utendaji huo unafanya kazi kwa ufanisi zaidi pindi tuu mirija ya damu inayozunguka misuli hiyo ikiwa katika hali yake ya kawaida .

Kwa maana kwamba isiwe na mafuta mengi yazungukayo kwa nje au kwa ndani ili kuruhusu mzunguko wa damu kwenye misuli hiyo.


Kwa ushauri zaidi nitafute 0754586624.
 
Naona ni bora ungeleta huwo ushauri humu mkuu, itawasaidia waadhirika wa tatizo hilo. ushauri huo pia utawasaidia wale wasio na tatizo ili wasipate.
 
JF watu wanafata majibu, hawafati namba ili wakupigie uwaombe hela.

Kuna nyuzi nyingi tu zetoa solution kwa watu,na kama wewe unataka ufanye business guess this is a wrong place.

Unless unatafta mchumba.
 
Inashangaza miaka ileeee wazazi wetu una kuta copy and paste kama 20 hawa hana wasiwasi na kulikuwa hakuna haya matangazo kibwena ya nguvu za nininini sijui kama bado hamjamjua mchawi yenu basi mna kazi.
Mtu anabana pua kabisa usiikaushe sana hiyo chips unategemea huyo mtu penye game atalingita inavyotakiwa?
 
Back
Top Bottom