Nguvu za kiume zipo kwenye ku control ubongo zaidi

Nguvu za kiume zipo kwenye ku control ubongo zaidi

Kama tafsiri yake ndo hivo nadhani hili litakuwa tatizo la watu walioenda umri labda wababa watu wazima ama labda mtu anayefanya sana punyeto. Ila kwa kijana mwenye afya ya kawaida tu huwez kusumbuliwa na hichi kitu maana damu inachemka. Unafika kileleni unakaa dakika chache tu unaweza kujipa hata gap ya hata 40 minutes ile uwe vizur sijui kwa wengine ipoje naongelea upande wangu...
Hujakosea uko sawa hapo inawezekana na nimekuelewa vizuri sana [emoji106]
 
Nna uhakika na nlichoandika, niliplay music ndo nikaanza by the time namaliza music ilikuwa kweny 45 minutes so hizo 20 minutes ni kama error but nilienda zaidi ya hata hizo 25.. By the way, sina nia kujipa sifa yoyote ila nilitaka ku share awareness tu kwa wenzangu ambao walikuwa na tatizo kama hilo
Bas sawa kijana,ila nilichokwambia uzingatie,wenzio hatujaanza kuto.mba leo hzo dk 20 au 30 so we actualy know the journey,..yaan kutoka dk3 juz yake had dk 25+,...bas kwel ubongo umefanya kaz,..ila nasisitiza zingatia nilichokwambia,..chkua stop watch au sim mark mda wa kuanza na kumaliza...fuc.kn 25 min is nt a joke,mi hua nafu.ck had 30min n mor ila baada ya hapo dem hua hatak hata kuniona,namii hua machoka sana,na nna experienc ya mda mref kupiga show hzo,kuna siku naenda had 40min lakin inakuaga kama kero had mi mwenyew naona kero,i no wat am sayn
 
do not give a damn.. mwenyewe haya mabadiliko nimeyashangaa kutoka 3 mpaka 25+ ndo mana nikaandika huu uzi.. Ila kwa yeyote yule ambaye labda anaenda chini ya 3 minutes ana uwezo kupandisha hiyo performance .. na njia ni kama niizozisema hapo juu.... labda ntazidi kuongeza utaalam mwingine kadri ninavokuwa mzoefu.. ila kwa mda wangu mfupi wa kuwa kwenye haya mapenzi nimegundua vitu vingi sana.. hichi kitu ni sanaa inayojumuisha viungo vingi sana vya mwili..
 
Umeanza mapenzi ukubwani alafu unajikuta fundi
 
Ina husisha pia ku relax jinsi unavopumua.. yaaani unatakiwa uwe normal fulani hivi.. ubongo, unavopumua-- usivute pumzi kwa haraka maana mapgo ya moyo yataenda kasi na pressure ya damu inakuwa kama inaongezeka matokeo yake unapizi haraka.
Upumuaji ndio kucontrol ubongo mkuu?! Naona ulikuwa hufahamu breathing techniques tu. Fanya na kegel exercises kwa ajili ya misuli. Pia ukiwa na muda fanya mazoezi ya viungo.
 
Mkuu hujajua dawa iliyokuponya bado????....NI HAYO MAKARANGA na MAPWEZA ndo yamekusaidia
 
True story

Unaweza kudhani maumbile makubwa kwa mwanaume yanaweza kukusaidia, ama sijui kula mikaranga na mi pweza ila nimeamini, nguvu ya kiume ya kweli inatokana na ku control ubongo wako zaidi.

Miezi kama sita iliyopita nilipompata huyu mpenzi wangu wa kwanza ambaye ndo nipo naye kwa sasa, nilikuwa katika nafasi ya kujihisi kama labda nna upungufu wa nguvu za kiume. Maana nilikuwa na tabia ya kukojoa bao la kwanza ndani na chini ya dakika tatu.

Hakuna kitu klikuwa kinanikera kama hiki kuona wewe umeshakojoa halafu mpenzi wako ndo moto umempanda anadai umt*mbe, nikawa najifikiria hapa ndo mwanzo na sababu ya ama kugongewa ama kuachwa kabisa.

Niliadhimia kutatua hili tatizo nikaanza kula makaranga lakini wapi, ma pweza lakini wapi, mazoezi lakini wapi...

Siku moja wala sio siku nyingi sana, mchumba wangu akaniambia inabidi ujicontrol. So nakumbuka next day nikajisemea na mimi itabidi nijicontrol ila sikujua itakuwaje. So ikafika siku ya game, kama kawaida ila leo nikajisemea siwez kukojoa mapema.

So nilijitahidi ku relax ubongo na moyo.. nikawa wakati naanza naenda taratibu.. ila mda ukazidi kwenda nikiwa sasa naenda speed ya kawaida na nikawa nahisi udhabiti. Niseme tu ukweli kwa mara ya kwanza nilienda bao la kwanza kwa kati ya dakika 25-35 sikuhesabu vizur ila ni zaidi ya 25. Kiasi mpaka jasho mwili mzima lilikuwa linanitiririka na bado nilikuwa stable mpaka nilipoamua mwenyewe kukojoa.

Kwangu lilikuwa ni badiliko kubwa mno maana siku mbili kabla nilikojoa kwa chini ya dakika 3. Lakini leo nimeweza kuhimili dakika hizo zote.

So ushauri wangu kwa wanaume wenzangu wanaohisi sijui wana matatizo ya nguvu za kiume, mnatakiwa kujenga hali ya kucontrol ubongo zaidi kuliko vitu vingine. Sio mikaranga, mi pweza, sijui mi dawa gani asilimia karibu 70% ya nguvu zako za kiume ni namna gani unaweza ku control ubongo wako.

Disclaimer: sio tangazo (nna mpenzi mmoja na wa pekee na furaha yake ya majamboz ndo imenifanya nilete huu uzi leo japo sijazoea kuandika humu)

Eti kujikontrooo hujakutana na mnato na joto la haja wewe
 
Yaani dakika 25 ndo jasho linakutoka na unaona siyo kawaida!
 
Ulichosema ni 100% but never underestimate hivyo vyakula maana unaweza piga 25min raundi ya kwanza.. je utaweza kwenda second round?? Mazoezi ni muhimu kwa kukupa pumzi na kuwa na uwezo wa kurudia tendo Zaidi, na kuimarisha misuli ya uume.. So endelea kula protein na fanya mazoezi ya wastani utaenjoy sex zaidi
 
Back
Top Bottom