Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Uliemtuma hata hajafikisha ankal labda unitumie tena...
Basi..ngoja niseme naye..ana ajenda gani?
Uliemtuma hata hajafikisha ankal labda unitumie tena...
Mh! Una nia gani naye labda?
1. papucci reasons
2. long term
Mwanamke ukimpiga mti vizuri hauhitaji nguvu kumshawishi atashawishika mwenyewe
ni ushauri tu....
unamiliki vituo vingapi vya mafuta? una heavy duty trucks ngapi?
ujuwe kwa waarabu mtu mweusi ni laana bila kujali ni dini gani ila ukiwa na vigezo hivyo hapo juu ni added advantage, kama huna vigezo hivyo hapo don't kiss the wind.
naaaam hapo sasa ndiyo nipe maneno ya kumshawishi ili aje nimpige mti ili next time nisije hapa kuomba ushauri...
aseeeeee yani hadi kuomba papuchi hujiwezi kudadeki hivi utaweza kuitumia ikija?
ningekuwa mwanaume ningeku overtake nikakugongea....
hivi umeelewa post yangu lakini