Nguvu ya unadhifu wa mtu

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,597
Habari wana Jukwaa,

Siku zote huwa naamini kujipenda kwanza ndio hasa kunakopelekea mtu kujiamini na hata pia watu wengine watakuheshimu na kukupenda baada ya kugundua unajijali.

Sio siri swala la unadhifu hasa wa mwili na mavazi ni vitu ambavyo mimi kama moja ya vijana wengi wa ki leo ni moja ya vitu ambavyo nimevipa umuhimu.

Hili liko hivo hata kwa marafiki zangu wa karibu na nadhani ni kwa vile hata wao wana attributes kama zangu.Imepelekea watu wengi kunikubali nimepata marafiki wengi wapya na hata pia kuna baadhi ya wasichana wamekuwa wakinisifia kwamba niko very smart.

Kuna dhana ambayo imejengeka siku hizi kwa baadhi ya watu juu ya vijana wenye kupenda kuwa smart,yani utakuta mtu anaanza kukuita mijina ya ajabu kama "SHAROBARO".Binafsi nachukizwa sana na hilo jina because i know i'm a very authentic kind of person to be called such a stupid nickname.

Wana jamii naombeni mnieleze huyu "SHAROBARO" ni mtu wa namna gani?
 
Uwe nadhifu ila kuwe na mipaka usije ukaanza kutembea na lip shine ukaanza kusifiwa na watu wabaya ukarusha ngumi.
 
Mi nasikiaga eti nyinyi masharobaro ndio habari ya mujini
 
Uwe nadhifu ila kuwe na mipaka usije ukaanza kutembea na lip shine ukaanza kusifiwa na watu wabaya ukarusha ngumi.

Sijawahi kuwa mtu wa hivo na wala sitakuja kuwa mtu wa hivo...Hao ni malimbukeni mkuu Sumu
 
Last edited by a moderator:
Mi nasikiaga eti nyinyi masharobaro ndio habari ya mujini
MO11 Mi siwezi kuwa habari ya mjini, sidhani kama unadhifu wa kiwango changu una amount kuwa sharobaro!
 
Last edited by a moderator:
Kama u-smart wako unakuingizia pesa sawa...kama ni prerequisite ya kazi yako mfano lawyers sawa. Otherwise, I wouldnt, and as a programmer I dont give that a priority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…