nguvu ya umma ni kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nguvu ya umma ni kiboko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 5, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  huyu mama anakataa kuwapakiza majeruhi waliopata ajari jijini Dsm tarehe 1 june
  ukimwangalia vizuri huyo mama anamwonyesha askari saa kuwa anawahi,lakini nguvu ya umma kutoka tabata imelazimisha kupakia majeruhi wawili na mama kulazimishwa na nguvu ya umma kuendesha gari kuelekea hospitali

  kweli nguvu ya umma ni kiboko  by michuzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Hujaeleweka.
   
 3. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  acha kua kichwa ngumu we gamba
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  acha uvivu mama,ebu soma na ufungue hiyo video ndio utaelewa,huwezi elewa kwa kuangalia picha na kusoma hehehehehehe
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna watu wavivu wa kufikiri. Wanatoa maamuzi ya gamba la nje bila kuangalia undani wa jambo. Dada yangu usioogope neno "nguvu ya umma"
   
Loading...