Nguvu ya uchawi/zindiko la benki

Nguvu ya uchawi/zindiko la benki

Nami nliwahi kuuliza hili swali ila nilichojibiwa na kama uchawi kama uchawi hauendani na wizi hivyo mtu akiiba kitu chochote wengi wao hukamatwa au kuloose direction.sasa hapo ndo huwa cjui vzur km n sheria na mashart yao au lah
 
Kati ya maeneo ambayo kuna zindiko kali sana huko Bongo basi inasemekana ni white house/jumba jeupe feri kivukoni hapo ndio top unaambiwa mageti yote kuanzia geti kuu karibu na ofisi za Ndalichako Profesa mpaka kule nyuma baharini (geti jeusi) basi kama we ni mtu mbaya utaviona kama kuna geti vimepangana kama sita hivi (hizi siyo story za kwenye kahawa ila ni ukweli)

Yote kenda kumi sasa ule ukuta usiuone tu hivo watu wasiojulikana wanaranda randa hapo kuna kuta kama nne hivi moja ni man made na zingine tatu ni (supernatural made fences) so ukiwa na mambo yako hakika utaaibika na kupelekwa kule wasikorudi watu.

Note that serikali aitambui uchawi (wala haina dini) ila serikali ipo vizuri sana katika suala hili tena ina kamati yake ya ufundi sema kafara yao ndo kubwa mno na lazima ifanye kafara kuanzia Tanga-Sahare, kigoma , Sumbawanga, Shinyanga, Ukerewe, Lindi-Mtwara Na Wazee wa Dar-Bwagamoyo kote huku Kuna kamati za ufundi na wapo kwenye payrolls za sirikali . Ngoja niachie hapa wanaojua angalau wataongezea .
Sio pw

Its not over until its over...
 
Nishawah sikia pia
Na ndio maana kuhama kwenda ikulu dodoma Ni Jambo zito kidogo
 
Mchawi awezi chukua pesa naana hata pesa inazindiko kubwa,ila anacho kifanya mchawi ni kukuchukuwa wewe ili akakutumikishe katika mashamba au sehemu zinginezo ili ajipatie kipato,lakini swala la kwenda kuchukua fedha bank ilo aliwezekani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wachawi hawahitaji fedha kwakuwa hawana matumizi nazo na hii ni kwa sababu wanapata watakacho bila hizo fedha sasa kwanini akaanze kujichosha kubeba mirundo ya makaratasi isiyo na faida kwake?
Wana JF salaam sana.
Kiukweli kitaa huwa kuna maneno na maswali mengine hayapati majibu.

NIANZE HIVI;Jamii ya waAfrika imetawaliwa na imani za Ushirikina na Uchawi. Kwa nchi kama yangu Tanzania na Mozambiqe imani ya uchawi imeshika kasi sana.

Kwa Hapa Tz Mikoa kama, Kigoma, Tanga, Katavi, Ukerewe, Shinyanga-Gamboshi, Kilimanjaro,n.k kiukweli hofu ya ushirikina (Kurogwa)imetawala sana.

Kwa Nchi maskini kama Tanzania Uchawi /Ushirikina ndiyo habari ya kitaa.

Si wasomi, si watawala, dini, hata humu ndani ya JF utakuta hisia za kurogwa zimo kichwani mwa mtu.

Kuna Mbunge mmoja alistua Taifa aliposema Wabunge asilimia 99 wamepitishwa na wachawi kuja Bungeni.

Kitaani mengi huzungumzwa kuhusiana na haya mambo.

Swali ili Linaulizwa sana kitaani"kama wachawi wananguvu ya kupenya kwenye milango na wakafanya wayatakayo nakuondoka salama, Kwanini hawaingii kwenye mabenki wakachukua mshiko?

Wengine husema benki wanalo zindiko kali(lenye nguvu ) kuliko la hawa wachawi wa Katavi a.k.a sumbawanga.

Unafahamu nini kuhusiana na haya mambo?

Jr
 
Wachawi hawahitaji fedha kwakuwa hawana matumizi nazo na hii ni kwa sababu wanapata watakacho bila hizo fedha sasa kwanini akaanze kujichosha kubeba mirundo ya makaratasi isiyo na faida kwake?

Jr
Mkuu hapa umeniacha , ina maana mchawi anaweza kupata vitu vyote hata haya magari na majumba bila pesa? Na vingnevyo ambavyo tunatumia oesa kila siku kupata

teaching fools some basic rules
 
Majini yanaiba ndo maana kuna watu wanafuga majini yanakuwa wanawaletea pesa

Hii ni kweli , kuna mtu alienda kwa mganga kuchukua jini hili awe anampa pesa , sasa mganga nae alikua mjanja akampa jini mwizi, yan akawa anaiba pesa za jamaa anapeleka kwa mganga, mpaka jamaa kushtuka kashalizwa sna, jini mwenyewe alikua kama tumbili, nilimuona kwa macho yangu kanatisha kabaya... hii Dunia Ian mambo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hapa umeniacha , ina maana mchawi anaweza kupata vitu vyote hata haya magari na majumba bila pesa? Na vingnevyo ambavyo tunatumia oesa kila siku kupata

teaching fools some basic rules
Akiamua anavipata lakini havihitaji
Safari zake ni kufumba na kufumbua keshafika... Ama atumie ungo au fisi.. Safari zake ni short cut hatumii lami.. Hana kikomo cha mwendo, hahitaji traffic vipuri wala mafuta
Majumba hana kazi nayo kwakuwa akiamua kustarehe anaingia popote ale anywe ajisaidie na sometimes afanye ma2C

Jr
 
Pesa ni Shetani sasa ataibiwaje
Fedha siyo shetani, fedha ni maendeleo, uchawi na maendeleo ni mbingu na ardhi.

Uchawi hauruhusu kuchukua pesa nyingi tena bila mmiliki kuhusika, kwa kuitoa mwenyewe.
Ulimwengu unaonekana wachawi wachache ndiyo matajiri, na wao huzitumikia pesa, badala ya pesa kumtumikia yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu zinazopelekea kukithiri kwa umaskini ni imani za uchawi na ushirikina.

wewe hujiushishi na uchawi Bali atatokea Mtu akuforce utumie uchawi mfano unaweza rogwa ugonjwa usiojulikana ukaangaika weeee mpaka daktari mwenyewe anakwambia baba jiongeze. Na ukienda unapona,

Kiukweli nabidi ifike Mahala Jamii ibadilike ijikite Katika juhudi na kufanya kazi na kutumia nguvu Chanya kwa mana yakumtegea mungu kingine watu waache Unafiki na Ubinafsi tushirikishane Katika mambo mbalimbali kwa moyo wote ambayo yatatuletea maendeleo kikubwa tupendane.

Unajua ngozi nyeupe wanapenda Sana wag kwa wao njoo kwetu sasa utakuta tunauwana tunatimuana mfano mzuri rejea South Africa
 
Back
Top Bottom