Sueky
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 320
- 204
Wana JF salaam sana.
Kiukweli kitaa huwa kuna maneno na maswali mengine hayapati majibu.
NIANZE HIVI;Jamii ya waAfrika imetawaliwa na imani za Ushirikina na Uchawi. Kwa nchi kama yangu Tanzania na Mozambiqe imani ya uchawi imeshika kasi sana.
Kwa Hapa Tz Mikoa kama, Kigoma, Tanga, Katavi, Ukerewe, Shinyanga-Gamboshi, Kilimanjaro,n.k kiukweli hofu ya ushirikina (Kurogwa)imetawala sana.
Kwa Nchi maskini kama Tanzania Uchawi /Ushirikina ndiyo habari ya kitaa.
Si wasomi, si watawala, dini, hata humu ndani ya JF utakuta hisia za kurogwa zimo kichwani mwa mtu.
Kuna Mbunge mmoja alistua Taifa aliposema Wabunge asilimia 99 wamepitishwa na wachawi kuja Bungeni.
Kitaani mengi huzungumzwa kuhusiana na haya mambo.
Swali ili Linaulizwa sana kitaani"kama wachawi wananguvu ya kupenya kwenye milango na wakafanya wayatakayo nakuondoka salama, Kwanini hawaingii kwenye mabenki wakachukua mshiko?
Wengine husema benki wanalo zindiko kali(lenye nguvu ) kuliko la hawa wachawi wa Katavi a.k.a sumbawanga.
Unafahamu nini kuhusiana na haya mambo?