Hiyo kodi ailipe kwenye huduma gani?
Hujaeleweka, huduma zipo tayari, na kodi zinakusanywa, nyingine zinaongezwa na kufutwa kwenye bajeti, kama una suggestion ya namna ya kuongeza mapato, ungeiweka clear...waongeze kodi kwenye nini? au walete kodi mpya ya nini? Hapo utakua umeleta hoja ya maanaNdio maana huduma hakuna. Zinaanza pesa ndio inakuja huduma.
Hivi ile namba ambayo ccm walikuwa wanaimba kuwa watz wataisoma ni ngapi?Kila namba ina thamani yake
Hujaeleweka, huduma zipo tayari, na kodi zinakusanywa, nyingine zinaongezwa na kufutwa kwenye bajeti, kama una suggestion ya namna ya kuongeza mapato, ungeiweka clear...waongeze kodi kwenye nini? au walete kodi mpya ya nini? Hapo utakua umeleta hoja ya maana
Unaongea pumba nduguMiji haina hata taa za barabarani unasema huduma zipo.
Unaongea pumba ndugu
Pumba unaongea, umeshindwa kutetea hoja unatambia unakoishi, ?Uzuri wake siishi kwenye vumbi wala pumba. Una maana mna hela za kulipa watumishi wa serikali mishahara ya kueleweka?
Naona unamsema bashite kwa mafumbo. Power of ZERO. (in Gwaji voice)