Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,181
- 166,169
Pia actions speaks louder than words ukiwa goigoi Na mtoaji hutofanikiwa ni lazima uwe Na bidii, juhudi, maarifa, nidhamu, Na focus kwenye ulifanyalouko sawa utoapo sadaka lazima uesemee hitaji lako utafanikiwa tuu

well saidTuache pia kutoa Sadaka kama Rushwa,
Kuna wengine hutoa sadaka kwa ajili ya hitajio Fulani, likishajibiwa na kufanikiwa hujutenga mbali na utoaji. Naye huacha kumtolea Mungu. Hii ni rushwa katika Sadaka.
Na tukumbuke ya kwamba ni kwakutoa ndio tunapokea...hii ni kaniki ya asili kabisaKufanikiwa ni kupata / kufikia hitaji la moyo wako. Moyo wako ukiwa unahitaji BMW Na wewe ukapata Toyota Vits Basi hujafanikiwa, utakuwa umefanikiwa pale tu utakapopata BMW.
Ili kuyafikia mafanikio kuna kanuni zake. Huyu ataenda kutambika, huyu ataenda kwa waganga, Yule ataenda kanisani Na mwingine msikitini.
Kwenye ibada zote hizo utatakiwa utoe sadaka. Kuna sadaka za damu (makafara) Na sadaka za amani.
Sadaka Ina nguvu ya kukuunganisha Na madhabahu ya mafanikio yako. Hamna mafanikio yasiyotoka kwenye madhabahu.
Sadaka iliyonona inakufanya uwe Na imani zaidi Na ari zaidi ya kuyafikia mafanikio yako.
Kila unapotoa sadaka yako hakikisha umejitakasa, umeitakasa sadaka yako Na madhabahu yako Na uinenee mafanikio, Na uamini kuwa utafanikiwa.
Bila ya imani hamna mafanikio.
CC
Kyokola, Sky Eclat, Mentor, Guru, mshana jr
Na tukumbuke ya kwamba ni kwakutoa ndio tunapokea...hii ni kaniki ya asili kabisa
Bwana huubariki mkono utoao kuilko upokeaoHeri mkono utoao kuliko upokeao
Nguvu ya sadaka..!! Nimeipenda hii.. yamkini sadaka ipo kila mahali hata unapoanza mahusiano utatoa ili upate, hata unapoenda kuoa ili uwe na heshima ukweni mahali (kutoa) kunahusika..!Kufanikiwa ni kupata / kufikia hitaji la moyo wako. Moyo wako ukiwa unahitaji BMW Na wewe ukapata Toyota Vits Basi hujafanikiwa, utakuwa umefanikiwa pale tu utakapopata BMW.
Ili kuyafikia mafanikio kuna kanuni zake. Huyu ataenda kutambika, huyu ataenda kwa waganga, Yule ataenda kanisani Na mwingine msikitini.
Kwenye ibada zote hizo utatakiwa utoe sadaka. Kuna sadaka za damu (makafara) Na sadaka za amani.
Sadaka Ina nguvu ya kukuunganisha Na madhabahu ya mafanikio yako. Hamna mafanikio yasiyotoka kwenye madhabahu.
Sadaka iliyonona inakufanya uwe Na imani zaidi Na ari zaidi ya kuyafikia mafanikio yako.
Kila unapotoa sadaka yako hakikisha umejitakasa, umeitakasa sadaka yako Na madhabahu yako Na uinenee mafanikio, Na uamini kuwa utafanikiwa.
Bila ya imani hamna mafanikio.
CC
Kyokola, Sky Eclat, Mentor, Guru, mshana jr
umenena vyemaNguvu ya sadaka..!! Nimeipenda hii.. yamkini sadaka ipo kila mahali hata unapoanza mahusiano utatoa ili upate, hata unapoenda kuoa ili uwe na heshima ukweni mahali (kutoa) kunahusika..!
ukisoma biblia vema sadaka imekuwa ikitolewa tangu enzi za kina Kaini na Habiri.. lakini pia kumekuwepo na sadaka chukizo na sadaka halisi..
moja kati ya Machukizo ya wana wa Israel ilikuwa kumtolea sadaka Moleki ambapo watoto walikuwa wakichomwa moto ama kupitishwa kwenye moto kama sadaka kwa Mungu huyo..
sadaka ya kujitaka kwa Mungu wa kweli na nyinginezo kwa Mungu Jehova tumeona zikiwa na Nguvu..!
Ukitaka kuona Baraka =toa Sadaka..
Ukitaka kuona Uponyaji = jenga Imani.
Ukitaka kuurithi Ufalme wa Mbinguni = toa maisha yako Kwa Bwana Yesu. !!
AmenBwana huubariki mkono utoao kuilko upokeao
HallelujahNguvu ya sadaka..!! Nimeipenda hii.. yamkini sadaka ipo kila mahali hata unapoanza mahusiano utatoa ili upate, hata unapoenda kuoa ili uwe na heshima ukweni mahali (kutoa) kunahusika..!
ukisoma biblia vema sadaka imekuwa ikitolewa tangu enzi za kina Kaini na Habiri.. lakini pia kumekuwepo na sadaka chukizo na sadaka halisi..
moja kati ya Machukizo ya wana wa Israel ilikuwa kumtolea sadaka Moleki ambapo watoto walikuwa wakichomwa moto ama kupitishwa kwenye moto kama sadaka kwa Mungu huyo..
sadaka ya kujitaka kwa Mungu wa kweli na nyinginezo kwa Mungu Jehova tumeona zikiwa na Nguvu..!
Ukitaka kuona Baraka =toa Sadaka..
Ukitaka kuona Uponyaji = jenga Imani.
Ukitaka kuurithi Ufalme wa Mbinguni = toa maisha yako Kwa Bwana Yesu. !!
Unazungumzia sadaka na madhabahu zipi,maana zipo madhabahu na sadaka nyingi.Zipo sadaka zinazotolewa kwa Shetani na zipo madhabahu za kipepo au kishetani.Kufanikiwa ni kupata / kufikia hitaji la moyo wako. Moyo wako ukiwa unahitaji BMW Na wewe ukapata Toyota Vits Basi hujafanikiwa, utakuwa umefanikiwa pale tu utakapopata BMW.