Nguvu ya mende

Hivi kwanini wale wanapenda kuruka ukuta wanaitwa mamende?
 
Watoto wa kike bana, sasa muda waliotumia hapo jikoni kama huyo mwingine kadandia si bora mmoja angeenda kuchukua dawa wapulizie, nina uhakika dawa wanayo humo humo kwao
 
Hahahaha juzi nlitumiwa video huko china mende wanafungwa tena wana market kweli alafu upishi wake wanakaangwa hahaha kama huna moyo mara watapika
 
Hahahaha juzi nlitumiwa video huko china mende wanafungwa tena wana market kweli alafu upishi wake wanakaangwa hahaha kama huna moyo mara watapika

Chakula ghali sana hicho farkhina kwa wavimba macho
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…