Nguvu ya maombi ni Teknolojia yetu mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya maombi ni Teknolojia yetu mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Whisper, Jul 14, 2012.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inaonekana Intelijensia yetu imepanda kwenda daraja lingine ambapo inafanya kazi kiimani zaidi ya technolojia. Hii imedhihirika jana wakati kamati yetu makini ilipozama kwenye maombi na punde mtuhumiwa wa kwanza akajisalimisha Kanisani. Bila shaka wa pili na watatu watajitokeza kesho jumapili mara baada ya misa ya pili na wengine itakuwa Ijumaa ijayo baada ya swala alasiri ili tubalance mambo. Sasa sijajua hii technolojia itakuwa kwa waliomteka Ulimboka au hata kwa wale wengine waliotishiwa kuuawa.
   
 2. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  :) Kova aka the Gangstar, kila nikifikiria jinsi alivyokuwa anazungumza lazima nicheke tu....
   
Loading...