Nimegundua nguvu iliyopo kwenye kuzungumza na Kushindana kwa Maneno!!
Kwa muda mrefu ninekuwa nikiliwaza sana hili suala, Kwanini mtu huwezi kufanikiwa au kupata jambo fulan mpaka uwe mzungumzaji.
Ukiwa mkimya kuna possibility ya mtu kusahaulika lakini ukiwa unabwabwaja kila mtu atakuzingatia..
Kwasasa haki haiji kwakuwa una haki lakin kwakuwa unajua kuongea sana, unajua kujieleza!! Hata kama wew uko sahihi lakin huwez kujieleza ni ngum wew kufanikiwa.
Mim nimewahi kuexperience hili kwakuwa mi sio muongeaji, na huwa sipendi kuongea sana!! Napenda nijielezee tu mara moja lakn sio kurudia rudia. Matokeo yake unaweza jikuta jamii inakusahau kabisa kama upo.
Hii ipo kote, si Africa pekee lakin ni dunian kote.
Kwasasa paza sauti yako, zungumza watu wakusikie, usikubali kukaa kimya unapoona kuna kitu hakipo sahihi.
Tafadhali nakusihi usikae kimyaa, usikae kimyaa, ukitaka kuonekana, kusaidika, naomba usikae kimyaa, zungumza!!!!!!
Nguvu iliyopo kweny kuongea ongea ni kubwa kuliko tunavyoweza kuona.
Hio ndo mbnu inayotumika kweny siasa sana!! Watu wanaandaliwa mtandaoni kumchafua mtuu fulani, makusudi. Hio ndo silaha kwa watu wasiojali intellectual tena.
Naomba kuwasilisha