Nguvu ya kitanda

Unafaa sana
 
Walitumia miti kupiga mswaki..

Walitumia sabuni za mipapai

Nahis walikuwa hawafanyi... Me nikiwaangalia bibi na babu nahis wanajuaa style moja tu!! Missionary position basii!!
Maana sidhan hata kama washawah ona porn😂✌✌😂😂😂😂
 
Nahis walikuwa hawafanyi... Me nikiwaangalia bibi na babu nahis wanajuaa style moja tu!! Missionary position basii!!
Maana sidhan hata kama washawah ona porn😂✌✌😂😂😂😂
hazel hazel mjukuu wangu..
 
Last edited by a moderator:
Nahis walikuwa hawafanyi... Me nikiwaangalia bibi na babu nahis wanajuaa style moja tu!! Missionary position basii!!
Maana sidhan hata kama washawah ona porn😂✌✌😂😂😂😂

1000%true
 
Umeleta jambo lenye mantiki mkuu. Ila hilo ni tatizo lenye mawanda mapana. Mbali na ukubwa wa kitanda kuna matatizo mengine.
Maana kitanda kinaweza kikawa na 3x6 then mwanaume goli moja hoi, au ana kibamia. 3x6 itakua na faida gan?

Kwa hiyo 3x6 itakua ni muhimu kama itaendana na mambo mengine yanahusiana na ndoa.
 
Dah watu wana balaha humu eti 2.5x6 jamani hapo si ndo mwanzo wa kupeana limit ya kunenepa na mkishazaa sijui kid atalala wapi hata au chini?
 
kweli kabisa ndio maana hata wazungu wanandoa vitanda vyao vingi havizidi 4/6
 
Kitanda changu kikiwa kikubwa sana hakizidi 4 kwa 6.
Na hata iweje siruhusi tuingie kulala tukiwa tumekasirikiana, yaani i wont sleep, na kwakuwa usingizi ni starehe niipendayo na siko tayari kuikosa, nitahakikisha tunayasawazisha kabla ya kulala

Elements za good wife
 
Dah watu wana balaha humu eti 2.5x6 jamani hapo si ndo mwanzo wa kupeana limit ya kunenepa na mkishazaa sijui kid atalala wapi hata au chini?

Mtoto anawekwa kwenye baby bed pembeni ya kitanda chetu
 
kuna jamaa alisema kuna staili ya pakachongo sasa sijui kama inafaa kwenye 2.5x6.
embu mzee wa pakachongo njoo ufafanue

hahahahahaha,hii itakuwa mpya kwenye maktaba yangu mkuu hewizet ndio ipoje hasa
 
Last edited by a moderator:

Sasa Bwashee na joto ya daislam hii hiyo futi 2,teh teh teh teh
 
NGUVU YA KITANDA

Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na kugusana usiku kucha.

Hiyo iliwalazimisha waongee hata kama wamegombana mchana, maana bila kusema sogea huko huwezi kupata nafasi ya kulala. Baridi ilivyokuwa inaongezeka kunapokaribia kucha iliwalazimisha wasameheane hata bila ya kuombana samahani, maana kugusana kule kuliwapa joto lililokuwa linafuta lenyewe makosa yote waliyofanyiana mchana na kuanza upya.

Vitanda vyetu vya 6 x 6 vinakwenda anti-clockwise na kazi iliyokuwa inafanywa na vitanda vya akina babu. Vitanda vyetu havina ubavu wa kufuta makosa ya wanandoa waliyofanyiana mchana. Kila mtu anakuwa kwenye kona ya 6x6 na kujisikia aibu kuanza kumgusa mwenzie, nani aanze kupandisha mguu kwenye paja la mwenzie wakati kulikuwa na ugomvi? Ngoma inakuwa droo hadi asubuhi na ugomvi ukiwa palepale na kila mtu akijfanya nunda wa kukataa kujishusha kwa kusema samahani ama kumpapasa mwingine.

Rudisheni vitanda vyenu kwa fundi seremala avipunguze viwe 3 x 6 ili viweze kuwasuluhisha wanandoa mnapokoseana sio kwenda kwa mshenga, shoga, wazazi, majirani kutafuta suluhu.

💗NDOA MARIDHAWA💗
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…