Hii picha ya sigil Tayari ina:
Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi).
Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio).
Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram).
Unachotakiwa kufanya sasa:
1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe.
2. Iweke karibu na fedha zako, pochi, au sehemu unayohifadhi pesa.
3. Ukiwa nayo, sema tamko lako kama:
βKwa jina la Doctor Dogoli Kinyamkela, mvuto wa pesa na kinga vipo upande wangu.β
Ineneee mala kw mala ayo maneno ili kuijaza nguvu ikufanyie Kinga zidi WA wachawi na majini pia ikupe mvuto WA kukubalika pia ikuvutie pesa mana ndo Kaz zake izo,Leo nimewapa vya uvunguni kabisaπ΄πΎπππ.
Mfanye alafu msisahau kuleta mirejesho apa ili niwape Chuma kingine kutoka uvunguni nilipo vifichaππ½.
Usiulize kwann useme Kwa jina la doctor dogoli kinyamkela β οΈπ iyo tarasim ndan yake Ina majina yangu ayo jinsi nilivyo iandaa ila ayo majina nimeyaficha apo kwenye iyo tarasim ivyo ili ifanye kaz iyo ndo code yake π΄πΎππ½
By Dogoli kinyamkela β οΈππ₯