Nguvu ya Kanisa Katoliki katika Uhuru wa Tanganyika

Unataka kutwambia kuwa Walutheri walitaka tuendelee kutawaliwa ila Wakatoliki ndiyo wapambanaji?

Sikiliza wewe bwana mdogo Yericko, Wakatoliki kuziweka nchi mikononi mwa bikira maria ni maombi yao tu ya baraka, hayana uhusiano wowote na kupigania uhuru au kitu gani, na wamefanya hivyo kwa mambo mengi duniani siyo Tanganyika tu!

Nenda kasome historia vizuri, acha stori za kuungaunga na kuokoteza vijiweni.
Achana na hawa watu
 
Huyu aliyeleta hii mada ni revisionist
Mara kibao Kanisa liliwakataza waumini wake wasijiingize katika siasa dhidi ya mfumo wa kikoloni au kuwapinga wakoloni.

Tena miongoni mwa agents wa colonilalism ni hao , maana kazi yao kuu ilikuwa ni kuwalainisha waumini "Watii mamlaka". Huku wakiwaambia Mtumwa kutomtii bwana wake ni dhambi, na akupigaye shavu la kushoto mpe na la kulia.

Hii ni taarifa ya kuokotezaokoteza.
Nakuchallenge wewe Yericko! Weka reference ya hayo uliyoyaandika badala ya kutumia imagination yako ya kuungaunga matukio.

Kanisa Katoliki lilikuwa Agents wa Colonialism na siyo Freedom.

Kwanza haikuwa katika Interest ya Kanisa Tanganyika kupata uhuru mapema, maana kanisa liliflourish sana chini ya Ukoloni, likipewa favors nyingi sana za kuoperate chini ya serikali ya Kikoloni, By that time lilikuwa na miaka takriban 80 tu ndani ya Tanganyika bado lilihitaji favors hizo ili lizidi kwenda ndani huko Tanganyika kuwabatiza Wapagani.

Kwa mujibu wa sensa ya Mwisho ya Kikoloni ya mwaka 1954 iliyokuwa na kipengele cha kutaja idadi ya watu kwa mujibu wa dini zao, Waislamu na Wapagani walikuwa wengi kuliko Wakatoliki, hivyo basi haikuwa katika interest ya Ukatoliki kutaka kuondoa mfumo uliokuwa ukiwalinda na kuwapa kila msaada kuingia interior huko kusambaza imani.

Na laiti ingekuwa ni kweli kuwa Wakatoliki walimgroom Nyerere kuwa frontman wao hapa Tanganyika basi madai ya ndugu zetu Waislamu kuwa Nyerere alikuwa agent wa Mfumo Kristo yanapata uhalali.
Na pia kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sehemu ya mpango mmojawapo wa kupunguza nguvu imani yao katika ukanda huu.
Na pia kwamba kumbe hatukupata Uhuru, bali tulihama kutawaliwa na Muingereza na kuja kutawaliwa na Mrumi.
Na Kwamba Julius Nyerere ni agent tu kama agents wengine wa ukoloni huo
 
Kanisa lenye ubalozi duh hii kali, najiuliza kazi ya balozi wa vatican ni nini hasa sielewi
Hujui Vatican ni sovereignty state na Rais wake ni Papa.Papa ana vyeo vikuu viwili,ni Rais wa Vatican na ni kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani.Kwanini ni sovereign state,soma historia ya kanisa

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Kanisa lenye ubalozi duh hii kali, najiuliza kazi ya balozi wa vatican ni nini hasa sielewi
Miaka zaidi ya 2000 wakipiga injili unafikiri utawaweza? Serikali na system zote zilizopo zinaundwa wao wapo tena sio wapo kwa hadithi tu bali wanayo orodha kwa ushahidi ya viongozi wake ambayo hakuna aliyewahi kuipinga kwa ushahidi pia kuanzia Petro hadi sasa Pope Fransis!

Kwanini wasipenye kote huko tena kwa nguvu ya Kristu mwanzilishi wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliyeleta hii mada ni revisionist
Mara kibao Kanisa liliwakataza waumini wake wasijiingize katika siasa dhidi ya mfumo wa kikoloni au kuwapinga wakoloni.

Tena miongoni mwa agents wa colonilalism ni hao , maana kazi yao kuu ilikuwa ni kuwalainisha waumini "Watii mamlaka". Huku wakiwaambia Mtumwa kutomtii bwana wake ni dhambi, na akupigaye shavu la kushoto mpe na la kulia.

Hii ni taarifa ya kuokotezaokoteza.
Nakuchallenge wewe Yericko! Weka reference ya hayo uliyoyaandika badala ya kutumia imagination yako ya kuungaunga matukio.

Kanisa Katoliki lilikuwa Agents wa Colonialism na siyo Freedom.

Kwanza haikuwa katika Interest ya Kanisa Tanganyika kupata uhuru mapema, maana kanisa liliflourish sana chini ya Ukoloni, likipewa favors nyingi sana za kuoperate chini ya serikali ya Kikoloni, By that time lilikuwa na miaka takriban 80 tu ndani ya Tanganyika bado lilihitaji favors hizo ili lizidi kwenda ndani huko Tanganyika kuwabatiza Wapagani.

Kwa mujibu wa sensa ya Mwisho ya Kikoloni ya mwaka 1954 iliyokuwa na kipengele cha kutaja idadi ya watu kwa mujibu wa dini zao, Waislamu na Wapagani walikuwa wengi kuliko Wakatoliki, hivyo basi haikuwa katika interest ya Ukatoliki kutaka kuondoa mfumo uliokuwa ukiwalinda na kuwapa kila msaada kuingia interior huko kusambaza imani.

Na laiti ingekuwa ni kweli kuwa Wakatoliki walimgroom Nyerere kuwa frontman wao hapa Tanganyika basi madai ya ndugu zetu Waislamu kuwa Nyerere alikuwa agent wa Mfumo Kristo yanapata uhalali.
Na pia kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sehemu ya mpango mmojawapo wa kupunguza nguvu imani yao katika ukanda huu.
Na pia kwamba kumbe hatukupata Uhuru, bali tulihama kutawaliwa na Muingereza na kuja kutawaliwa na Mrumi.
Na Kwamba Julius Nyerere ni agent tu kama agents wengine wa ukoloni huo
Askofu Kilaini anapinga moja ya hizi hoja kuwa Kanisa Katoliki lilikuwa ajenti wa ukoloni na alishaomba mjadala na wataalamu wa historia hoja kwa hoja na evidences wakakimbia wasomi wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliyeleta hii mada ni revisionist
Mara kibao Kanisa liliwakataza waumini wake wasijiingize katika siasa dhidi ya mfumo wa kikoloni au kuwapinga wakoloni.

Tena miongoni mwa agents wa colonilalism ni hao , maana kazi yao kuu ilikuwa ni kuwalainisha waumini "Watii mamlaka". Huku wakiwaambia Mtumwa kutomtii bwana wake ni dhambi, na akupigaye shavu la kushoto mpe na la kulia.

Hii ni taarifa ya kuokotezaokoteza.
Nakuchallenge wewe Yericko! Weka reference ya hayo uliyoyaandika badala ya kutumia imagination yako ya kuungaunga matukio.

Kanisa Katoliki lilikuwa Agents wa Colonialism na siyo Freedom.

Kwanza haikuwa katika Interest ya Kanisa Tanganyika kupata uhuru mapema, maana kanisa liliflourish sana chini ya Ukoloni, likipewa favors nyingi sana za kuoperate chini ya serikali ya Kikoloni, By that time lilikuwa na miaka takriban 80 tu ndani ya Tanganyika bado lilihitaji favors hizo ili lizidi kwenda ndani huko Tanganyika kuwabatiza Wapagani.

Kwa mujibu wa sensa ya Mwisho ya Kikoloni ya mwaka 1954 iliyokuwa na kipengele cha kutaja idadi ya watu kwa mujibu wa dini zao, Waislamu na Wapagani walikuwa wengi kuliko Wakatoliki, hivyo basi haikuwa katika interest ya Ukatoliki kutaka kuondoa mfumo uliokuwa ukiwalinda na kuwapa kila msaada kuingia interior huko kusambaza imani.

Na laiti ingekuwa ni kweli kuwa Wakatoliki walimgroom Nyerere kuwa frontman wao hapa Tanganyika basi madai ya ndugu zetu Waislamu kuwa Nyerere alikuwa agent wa Mfumo Kristo yanapata uhalali.
Na pia kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sehemu ya mpango mmojawapo wa kupunguza nguvu imani yao katika ukanda huu.
Na pia kwamba kumbe hatukupata Uhuru, bali tulihama kutawaliwa na Muingereza na kuja kutawaliwa na Mrumi.
Na Kwamba Julius Nyerere ni agent tu kama agents wengine wa ukoloni huo
mkuu mambo mengine ni magumu sana ila hii habari ya kanisa kutawala tanzania sio habari ngeni sana hasa kama umewahi kuwasikiliza baadhi ya watu..........

habari za mwalimu kutengenezwa na kanisa ili aje atawale/aongoze tanganyika na baadae tanzania sio habari ngeni pia........

kuna madai flan ya ndugu zetu waislamu kuhusu huu muungano ukitazama kwa undani unagundua kabisa wana hoja ila hoja yao inazongwazongwa na kauli/shutuma za udini..............

lkn pia kampeni za 2015 kuna jambo alitamka Lowasa kule tabora kanisani ...... wengi tulidhan ni mawazo mgando ya Lowassa, lakn ukienda ndani zaidi unagundua kuna msg lowassa alitaka kuisema ila hakuwezi akaishia kuongea kitu kile...........

walutheri wamepata kuwa na wanasiasa mahiri kabisa hapa tanzania lkn hawajapata hio nafasi ya juu ktk mazingira ya kutatanisha.......... unadhan ni coincidence tu mkuu???? there must be something behind the scene!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka zaidi ya 2000 wakipiga injili unafikiri utawaweza? Serikali na system zote zilizopo zinaundwa wao wapo tena sio wapo kwa hadithi tu bali wanayo orodha kwa ushahidi ya viongozi wake ambayo hakuna aliyewahi kuipinga kwa ushahidi pia kuanzia Petro hadi sasa Pope Fransis!

Kwanini wasipenye kote huko tena kwa nguvu ya Kristu mwanzilishi wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Petro yupi, yule thenashara au Petro mwingine?.........

kama ni Yule mwanafunzi wa Yesu nakupinga kabisa........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi uangalie na upande wa pili wa historia nini kilikuwa kinatokea kwa wakoloni kipindi icho. Kwanza UK walikuwa wanamatatizo ya ndani kujenga taifa lao baada ya vita vya pili, ukaja mgogoro wa Iran na Biritsh-Oil company iliyokuwa inahodhi mafuta kwa mkataba mmbovu, mapinduzi ya Iran, Suez Crisis na mambo mengi kama dalili za awali kuonyesha the global power shift is moving from UK to USA.

Kikubwa ya yote ilikuwa tabu kuwapata watu wa kwenda kuishi kwenye makoloni mengi kusudi ya kuchuma na kupeleka kwao; kisera ikaonekana ni bora kujijenga wao kwanza na kujikita zaidi na settlement (makoloni ambayo kuna raia wao wengi ambao wanaishi kwa africa mfano Zimbabwe na Kenya) na zile colony ambazo ni occupied tu kama serikari lakini hazina watu wake wengi ziende ikiwezekana.

Ndio maana uhuru wa Tanganyika na sehemu zingine zilizokuwa occupied colonies za UK azikuwa kazi ngumu vile kuupata uhuru wao tofauti na settlement colonies ambazo uhuru wake nchi nyingi umekuja na gharama na mpaka leo nyingi siasa zao bado waingereza wanaziingilia sana tu.
 
Back
Top Bottom