Nguvu ya CHADEMA Kyela yamtisha Mwakyembe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,701
218,227
Mh. Mwakyembe amekurupuka kutoka Dar es salaam kuja kufanya mikutano , hivi sasa inasemekana yuko kata ya Ikolo kwa lengo hilohilo , mchana huu atahutubia kwenye viwanja vya Magofu ya NATIONAL MILLING ( ambayo ccm waliyaua kitambo kirefu , yamebaki kuwa mazalia ya panya na wadudu wengine wasio na makazi ) , Karibu na godown walizomgawia Mohamed Dewji.

Sitawaletea Updates , maana sidhani kama atakuwa na jipya zaidi ya longolongo zao za kuwadanganya wajane na mambo ya saccos labda na uongo wa bodaboda kwa vijana wasiojitambua .
 
Nenda tuu kaka katuletee hizo longolongo zake maana magamba wanaelekea mwisho wa existance yao ktk politics
 
Wacha wafanye mikutano kata kwa kata kijiji kwa kijiji lakini watu wameamua
 
amekurupuka kutoka Dar es salaam kuja kufanya mikutano , hivi sasa inasemekana yuko kata ya Ikolo kwa lengo hilohilo , mchana huu atahutubia kwenye viwanja vya Magofu ya NATIONAL MILLING ( ambayo ccm waliyaua kitambo kirefu , yamebaki kuwa mazalia ya panya na wadudu wengine wasio na makazi ) , Karibu na godown walizomgawia Mohamed Dewji , sitawaletea Updates , maana sidhani kama atakuwa na jipya zaidi ya longolongo zao za kuwadanganya wajane na mambo ya saccos labda na uongo wa bodaboda kwa vijana wasiojitambua .

Hivi train na bandarini kuna hali gani kule ?Au ndiyo bize na dili lake la umeme wa upepo ?
 
Mwakyembe tangu wamzime kwa uwaziri wa kichina sasa hivi kimya, yani hakuna kitu.
 
amekurupuka kutoka Dar es salaam kuja kufanya mikutano , hivi sasa inasemekana yuko kata ya Ikolo kwa lengo hilohilo , mchana huu atahutubia kwenye viwanja vya Magofu ya NATIONAL MILLING ( ambayo ccm waliyaua kitambo kirefu , yamebaki kuwa mazalia ya panya na wadudu wengine wasio na makazi ) , Karibu na godown walizomgawia Mohamed Dewji , sitawaletea Updates , maana sidhani kama atakuwa na jipya zaidi ya longolongo zao za kuwadanganya wajane na mambo ya saccos labda na uongo wa bodaboda kwa vijana wasiojitambua .

unaposema hutaleta update huoni kwamba unatunyima haki ya kupata taarifa?
 
unaposema hutaleta update huoni kwamba unatunyima haki ya kupata taarifa?

Mkuu , unisamehe sana , mwili na roho vinakataa kabisa mimi kuwepo mahali ambapo kuna magamba, hata hivyo hakutakuwa na jipya , ccm wa ajabu sana , anayekuja kuhani msiba wa ndugu yake wanamuandalia mkutano ! Matokeo yake anakosa hata ya kuongea , sasa niende kufanya nini ?
 
Apo kyela town mwakyembe hana chake labda kidogo vijiji tena wakina mama tu, vijana washamchoka sana, nasubiri mi 2015 nikachkue kata1 na chama kubwa chadema, tena kata ya karibu na anakotoka mwakyembe,.
 
Ngonga au katumbasongwe mkuu , maana ingekuwa maeneo ya border ningekuapisha leoleo maana huku ccm kwisha kabisa .
 
Confirm , awagawia bodaboda baadhi ya vijana walijiunda vikundi vikundi ( hata hivyo wote ni vijana wa ccm ) , bodaboda moja watu mia moja ! Mwanzo wa ugomvi .
 
Confirm , awagawia bodaboda baadhi ya vijana walijiunda vikundi vikundi ( hata hivyo wote ni vijana wa ccm ) , bodaboda moja watu mia moja ! Mwanzo wa ugomvi .

huyu jaishiwa sasa kwahiyo shida ya vijana wa kyela ni badaboda??
Maji safi ataleta lini huko ikolo??
Lini ataboresha shule ya ikolo?? Aache kujidanganya hyo aende akatafte kazi nyingine ubunge asahau
 
Back
Top Bottom