KiZunguMukuti
Member
- Oct 7, 2014
- 66
- 66
Ahahahaaahaahaaa.. etiii madunga nyenyeee!! Lakini nyie si ndio mmewafanya wakawa hivyo, mmewadanganya danganya kwa chips na kuwafanyia vi assignment atimae wakawa maskrepaaa!! Sasa hivi nyie hao hao mnawaadhibu kwa kuwaita hayo majina!!? Kweli life haliko fair kabisaHahahaha hapo mkuu naona umewaumiza wengi,wadada waliogawa k zao kishamba shamba na kuachwa bila kuolewa woote wanaanza kukuandama mkuuu,hahahahha,binafsi bikira siwapendi kwasababu sienjoy nikifanya nao lakin kwa kuoa mzee hakuna zaidi ya bikira,haya maveterani madunga nyenyeee waachie wataka makombo mzee,sisi tutafute pesa tu na nyumbani tupack bikira tu....hahahaa
unamaanisha? na yeye atafuatia na kumi na moja? acha habari zako wewe.Khee makubwa kwa hiyo wametutoa mwanaume wenzio halafu mnatuambia tunatembeza k.. Haya bwana hongera kupata bikra hata sisi tulianza na moja na sasa ni kumi
Ha ha sina maana hiyounamaanisha? na yeye atafuatia na kumi na moja? acha habari zako wewe.
ndoa lazima nasubibi akijifungua salama tuBora useme wewe jamani tena kamjaza mimba sijui kama kamuoa kihalali
dhihaka ipo wapi hapo? kusema ukweli siku hizi imekuwa dhihaka?Uumbaji haudhihakiwi
mkuu utakuwa umeokota kajiwe ka udongo any time kanamong'onyoka. tehkwahiyo kama umeokota dhahabu sisi tumeokota nini
usitushushe hadhi kiasi hicho
nani amekwambia bikira zinasakwa? mkuu bikira hazisakwi kabahati tu kanakudondokea kama kalivyonidondokea. tehnishawahi kuwa na hawa wanaojiita mabikra kama watatu kiukweli ni wasumbufu sio siri, yaani msumbuane wee, nikikutana nae namtanua ila sina mpango wa kuwasaka
acha habari zako wewe. feki ukiangalia tuu unajuwa hii fekiUsisahau sikuhizi mjini wanawake wanatengeneza bikra
mkuu umejuae? btw bikira hajitangazimbona hata Rubii nae ni bikra ?
Mwenyewe nimekuja mbio mbio nikitegemea hivyoNiliposoma title yako "Nguvu ya bikira" nikajua unaelezea nguv za kiroho anazoweza kuwa nazo mwanamke bikira, kumbo utumbo mtupu? Nikusaidie sasa Mwanamke Bikira ana nguvu za kiroho kuliko yule ambae hana, Mwanamke bikira akijitambua vizur na akamjua Mungu vema anakuwa na upakomkubwa sanaa n.k hizo ndo nguvu tulitegemea uzieleze hata nguvu za ki mwili basi ungeelezea hvyo!!
Haya mkuundoa lazima nasubibi akijifungua salama tu
nimewahi au sijawahi kulala na mwanamke mwingine hiyo ni nje ya mada. mi najaribu kuelezea hisia zangu. kumegewa ni hiyari, nikiamua nataka nimegewe nitamegewa. kama unahisi nimekutukana, samahani mkuu.Hata ambao hawana bikra mwanzon walipendwa kama unavyompenda huyo, wengine wakishatolewa hyo ndo wanaonja tam sasa hapo jua umefungulia mzeee hata ungemkuta cjui nn kuchapiwa kupo pale pale mbaya zaid umewadharau hao wanawake wengne ambao hawana bkr, je ww unayo? Ni kwel hujawah kulala na mwanamke had ukampata huyo mwenye bkr? Kama umewah kulala na wengne unapata wap ujasir wa kuwatukana hawa wengne? Una hakika gan mama ako aliolewa akiwa bkr? Kutukana ambao hawana huon unaweza kuwa umemtukana na mama yako? Umeniudh sana omba samahan haraka sanaaa!!
Jifariji tu hapa mjini wajanja wako wengi tena wanakuzidi mbinu by the we way hongera kwa kuwa uko njiani kutuletea dungaembeacha habari zako wewe. feki ukiangalia tuu unajuwa hii feki
Ameeen, umepata kitu chema.Nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika.
Miezi kadhaa iliyopita nimebahatika kumpata mwanamke ambae ni bikra ambae nilikuwa namuwinda kwa muda mrefu sana sema ndo hivyo kila kitu kinawakati wake. Hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano ya kimapenzi kama kuwa na mwanamke ambae umemtoa mwenyewe bikra na kumfundisha mapenzi mwenyewe.
Kusema ukweli mi si mtulivu kwenye mahusiano lakini toka nikutane na huyu amenibadilisha sana maisha yangu ya kimahusiano, nahisi kitu ambacho sijawahi kuhisi maishani mwangu, kaimani ffulani moyoni na mwepesi ajabu. sijawahi kupenda hapo mwanzo kama navyopenda sasa.
Kwa ufupi nahisi raha na amani ya hali ya juu ambayo sijawahi kuipata mwanzoni. Sasa nimeamua kutulia kabisa na kuachana na binti wa mjini wanaotembeza k kila kukicha.
Nimepata wangu halisi miezi michache ijayo natarajia kuitwa baba najiona mwenye bahati kumpata mwanamke bikra, anajua thamani yake, anajua nini maana ya maisha, ana heshima na anajua yeye ni nani mwanamke bikra mtamu. nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hili.