Nguvu ya bikra katika mapenzi

kwahiyo kama umeokota dhahabu sisi tumeokota nini
usitushushe hadhi kiasi hicho
Nyie mmeokota sarafu ya shilling kumi tena iliyo chakavu, ambayo haina tena thamani kama hapo awali japo bado inaweza ikatumika kwa baadhi ya bidhaa
 


Una hakika gani kuwa hiyo sio BIKRA ya kichina?
 
nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hili
While it is good for u, take note;
a) U can have that experience with any woman regardless of her sexual experience. Mshukuru kwanza huyo mwanamke kwa sababu anakupa raha yeye na si bikra yake. Usitukane wengine.
b) We ushapitapita una uhakika na yeye anafuraha hiyo uliyo nayo? Au moyoni anawaza ngoja ajaribu na pengine aone kama raha ni hii hii ama kuna cha ziada.
All in all u get my point that life goes on there's still more to come, usitukane watu
 
Umesha muoa au unaanza na mtoto kwanza ndoa baadae? kama bado basi harakisha wasije kukuibia ukaanza kulia na mito kitandani...
 
Hahahaha hapo mkuu naona umewaumiza wengi,wadada waliogawa k zao kishamba shamba na kuachwa bila kuolewa woote wanaanza kukuandama mkuuu,hahahahha,binafsi bikira siwapendi kwasababu sienjoy nikifanya nao lakin kwa kuoa mzee hakuna zaidi ya bikira,haya maveterani madunga nyenyeee waachie wataka makombo mzee,sisi tutafute pesa tu na nyumbani tupack bikira tu....hahahaa
 
hongera mtoa mada kwa ubinafsi na udhalilishaji.
ubinafsi wako uko hivi, hujamuoa huyo binti na kuamua kumzalisha, kwa kujali furaha zako tu.
lakini pia unamtumia na kuna siku utamchoka na kumfanya akaitwe majina mabaya na wengine kama wewe ulivyowaita wanawake wengine majina mabaya.
lakini pia huijui kesho yako, unaweza kupoyeza uwezo wa kuwa na huyo binti kwa kuugua, ajali au hata kifo na kumuacha huyo dada akiwa sio bikira tena naye aitwe mtembeza k?
Umesema umesharukaruka sana vipi kale kaugonjwa mlipima na huyo bikira kabla hijaamua kumzalisha??
Mwisho naungana na wachangiaji wengine kupinga maneno yako mabaya juu ya wanawake. wanawake ni mama zako, shangazi zako, dada zako na binti zako. Waheshimu kama ambavyo ungependa kuheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…