nafikiri imekaa vyema lkn unaweza kumpa adhabu ambayo utaona imekaa ktk ustahiki sio kujaza chai mpaka inamwagika..Na hata mtoto akifanya kosa anatakiwa apewe adhabu ya akili sio mwili...
Hii imekaaje?
Hapo sawa, mfanonafikiri imekaa vyema lkn unaweza kumpa adhabu ambayo utaona imekaa ktk ustahiki sio kujaza chai mpaka inamwagika..
heri kumpa adhabu ya akili kuliko mwili maana atatumia akili kufikiri hata kupata majibu hivyo kukuza ufikiriaji wake na uelewa..
sasa kwenye mwili lazima pia ukaangalia na kiasi maana kupitia adhabu uliyompa eg fimbo huweza kuibua hisia mbaya kama hasira na mtoto kufanya maamuzi mabaya kama kula wenga skani au kufanya malipizi kwa kuiba hela skani n.k
Na sehemu nyingi ilipotushinda binadamu wengi ni kwenye hisia za NGONO.yaani hapa ni mtihaniKama kuna elimu ambayo inatakiwa ifundishwe kwa sasa ni hii "nguvu ya akili ktk maamuzi".
hii ni kwasababu kuwepo kwa waathirika wengi ambao hufanya maamuzi ya hisia pasipo kushirikisha akili.
Kawaida ya hisia zikipendekezwa sana ktk kufanya maamuzi hujenga tabia tena tabia sugu!
imefikia hatua watu wanalalama na kuomba msaada ni kwa jinsi gani watashinda hisia zao..?
hapa ni kumaanisha akili imetekwa na hisia hivyo hata maamuzi anayoyafanya muathirika anayafanya kwa kufuata hisia.
hebu fikiri mtu anajua kabisa kuwa yeye kufanya kitu fulani kunaweza kuleta madhara lkn mtu yuleyule anafanya kitendo kile halafu baadae huanza kujilaumu!
Ufahamu/akili ndio control ya kila kitu ktk mwili wa mwanadamu, binafsi nijuavyo
hisia ni misisimko ambayo ipo ktk mwili.
kwa mtu anaejielewa/jitambua jambo hili la kupambana na hisia litakuwa jepesi sana kama atafanya maamuzi kwa kushirikisha mzizi wa ufahamu wake ktk kupingana na hisia mbaya.
ukiwa kama mzazi nakushauri muunde mtoto wako kufanya maamuzi ya akili.
kwa mtu mwenye fikra pana ni fahari bali wajinga wataona upuuzi!!mkuu hilo linawezekana ila wakikufundisha hayo utawzidi...
Unapo mpa mtoto adhabu ya akili. kwanza ww mwenyewe inabidi uwe na akili nyingi sana.Na hata mtoto akifanya kosa anatakiwa apewe adhabu ya akili sio mwili...
Hii imekaaje?
Ooh, hebu dondosha japo huo mfano wa adhabu inayohitaji akili nyingiUnapo mtoto adhabu ya akili. kwanza ww mwenyewe inabidi uwe na akili nyingi sana.
Kwasaizi mm mtoto wangu bado hajafikia hatua ya kuanza kumpa adhabu ya kiakili.Ooh, hebu dondosha japo huo mfano wa adhabu inayohitaji akili nyingi
Adhabu unaweza kumnyima kitu anachokipenda, lets say anapenda mkate kwa blueband sasa siku hiyo unampa mkate mtupu bila blueband,Kwasaizi mm mtoto wangu bado hajafikia hatua ya kuanza kumpa adhabu ya kiakili.
Ila naona ni kazi sana kwasababu sisi wengine wakati tunakuwa ulikuwa ukikosea kidogo tu ni stick.
Chengine kuna baadhi ya magem unaweza kumpa mtoto ayacheze coz yanamfanya afikirie ili kuweza kulipatia so njia hii itampelekea mtoto kuwa mfikiriaji pia hutanua uwezo wake wa ufikiriajiAdhabu unaweza kumnyima kitu anachokipenda, lets say anapenda mkate kwa blueband sasa siku hiyo unampa mkate mtupu bila blueband,
au unampa adhabu ya kusoma multiplication Table,
yani zipo nyingi,
Tupac alipokuwa anakosea mamaake alimpa adhabu ya kusoma gazeti la daily news.
Aisee Hizo game za sokoban ni nyoko hahah...Chengine kuna baadhi ya magem unaweza kumpa mtoto ayacheze coz yanamfanya afikirie ili kuweza kulipatia so njia hii itampelekea mtoto kuwa mfikiriaji pia hutanua uwezo wake wa ufikiriaji
mfano kuna game kama sokoban na sudoku n.k
Kuna kipindi nilikuwa naicheza basi ikanifanya nipanick mpaka nikaipiga simu chini...Kwanini..?
πππKuna kipindi nilikuwa naicheza basi ikanifanya nipanick mpaka nikaipiga simu chini...
Kwa game ya sokoban kama umewahi kumaliza zote nakupa saluti.πππ
sokoban inahitaji uyakinifu ukitumia hisia matokeo yake ndo hayo
ni game zuri sana kuna moja nishalicheza lina stage 91 zote nilizimaliza lkn inataka moyo
Kweli hiyo ndio maana halisi ya kutumia nguvu ya akili hata mtoto anavyo zidi kukua anakuwa anajua kila kitu lazima utumie nguvu ya akili.Adhabu unaweza kumnyima kitu anachokipenda, lets say anapenda mkate kwa blueband sasa siku hiyo unampa mkate mtupu bila blueband,
au unampa adhabu ya kusoma multiplication Table,
yani zipo nyingi,
Tupac alipokuwa anakosea mamaake alimpa adhabu ya kusoma gazeti la daily news.