Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 601
- 2,508
like father like son; hata mkuu mwenyewe hajawahi kuuishi msemo wake huo "maendeleo hayana chama"!! hata hivyo kujipendekeza kwa Gloria Luoga hakukuzuia yeye kutumbuliwa!Nguvu nyingi kupitiliza bila akili.
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime, Bwana Glorious Luoga mwaka 2017 aliwahi kumkamata mbunge wa Bunda mjini, Esther Bulaya kwa kushiriki harambee ya kuchangia mabati kujenga shule Tarime vijijini.
Leo DC wa Hai, usalama wa taifa Feki, bwana Lengai Ole Sabaya anatoa amri mbunge Lucy Owenya akamatwe kwa kosa la kutembelea ujenzi wa darasa alilojitolea kujenga kwa fedha zake huko Hai..
Huu ni ushamba uliotamalaki.. Mkuu wa nchi anasema maendeleo hayana chama, Halafu wateule wake wanakamata watu wakijitolea kuchangia miradi ya maendeleo kisa, sio kutoka CCM?
Hii la kuwakamata viongozi wa CHADEMA kwa "kosa" la kutembelea shule na kupiga picha litakuwa limemfanyanyile "sadist" ashangalie sana.Katika utawala huu ili upate credit inabidi uwe na matendo ya kikatili! hii ni kwa sababu kiongozi wao mkuu ni mkatili kwa hiyo wanataka kumfurahisha kiongozi mkuu, so like father like son. Najua sijapaka mafuta maneno yangu kwa kuwa ndo ukweli. Ukiangalia matendo ya Ndugai ya kumfutia mtu ubunge wake huku akijua yuko kwenye matibabu hakuna namna nyingine ya kuyaita zaidi ya ukatili, lkn kwa bahati mbaya haya matendo ya kikatili na kukosa busara ndo yanamfurahisha mkuu. So sad.
Mkuu sio hapa kwetu, hapa dhuluma imeishinda haki sana tu. Kwa hapa kwetu haya hayana mwisho kabisa.Haya yote yana mwisho,na mwisho wake utakuwa mbaya sana,kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe,wala mfurahishwa hatokuwepo kuwasaidia,that's the good news!
Nguvu nyingi kupitiliza bila akili.
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime, Bwana Glorious Luoga mwaka 2017 aliwahi kumkamata mbunge wa Bunda mjini, Esther Bulaya kwa kushiriki harambee ya kuchangia mabati kujenga shule Tarime vijijini.
Leo DC wa Hai, usalama wa taifa Feki, bwana Lengai Ole Sabaya anatoa amri mbunge Lucy Owenya akamatwe kwa kosa la kutembelea ujenzi wa darasa alilojitolea kujenga kwa fedha zake huko Hai..
Huu ni ushamba uliotamalaki.. Mkuu wa nchi anasema maendeleo hayana chama, Halafu wateule wake wanakamata watu wakijitolea kuchangia miradi ya maendeleo kisa, sio kutoka CCM?
Mkuu ana mambo ya hovyo sana hivyo anateua watu anaofanana nao, wewe unafikiri atateua watu wa Aina gani? Aina yake.Nguvu nyingi kupitiliza bila akili.