[emoji276] [emoji276] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779]Mkuu mabandiko yako huwa yanatisha kinyama.
Noted mkuu[emoji276] [emoji276] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutajali niambie kazi yako kwa hapa mjini japo kuna kipindi ulisema upo karibu na jk huko mzogaView attachment 577698kiingereza inaitwa energy (refer energy drink) yani nishati.... Wanasema energy can neither be created no destroyed!
Wapinzani wa nguvu za uchawi ama ni waoga sana au ni wagomvi kupitiliza
Utabishaje kuwa hiki hakipo wakati umeshaambiwa wazi kabisa kwamba IT CAN NEITHER BE CREATED NO DESTROYED! uchawi ni roho hasi (negative energy) watu wa hasi na chanya wananielewa vema... Kwamba kuna negative force na positive force! Nguvu hasi na nguvu chanya
Kibuyu ama tunguli si lolote si chochote kama kuna kolabo hazijafanyika! Haina tofauti kabisa na mashine yoyote hata zile full automatic... Bila kuwa na kianzilishi/chanzo, mashine lako automatic litabaki kama lilivyo (chukulia mfano wa gari) huwezi kutoa maelezo mafupi kwanini linatembea! View attachment 577699kila kitu kina energy iwe negative au positive ni NISHATI lakini lazima kuwe na starter yaani kianzilishi... Unapofanya movements za mwili kuna kichokoo! Kisababishi cha yote hayo! Na kikizima hicho ujue ndio kwaheri.... Kinaitwa kifo halafu wewe inaitwa marehemu
Matunguli ni makasha ama vibebeo vya kubeba nguvu isiyoonekana lakini yenye nguvu sana! Tunguli haina tofauti kabisa na mwili uliobeba roho isiyoonekana... Unapobisha kuwa hakuna uchawi ni sawa na kusema hakuna uhai na hupaswi kuwa hai... Kwahiyo wewe endelea tu kubisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] mishen townKama hutajali niambie kazi yako kwa hapa mjini japo kuna kipindi ulisema upo karibu na jk huko mzoga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Kwa hizi akili zangu za kawaida nimekuelewa kidogo sana,
kwamba uchawi nayo ni roho yenye uhai,
sijui wenzangu walivyoelewa.
Kwa vile umetaka mtoa mada ndo ajibu basi msubiri, mi napita tu.Kinachotupa shida ni kwa nini nguvu hizi ziliruhusiwa kushuka na zitumike hapa duniani? Kwa nini Lucifer na kundi lake wameruhusiwa kusumbua sumbua hapa duniani kwa kutumia nguvu hizi? Kwa nini Mwenyezi Mungu ameruhusu nguvu hizi zitumike??
Nini chanzo chake hadi mtu anapaa juu, what is Technology used there? Mbaya zaidi hizi nguvu sasa zinaanza kutumika zaidi hadi kwenye masinagogi na zinafanya kazi, itafikia wakati mtu hawezi kujua ni nguvu gani inatumika kati ya hizo mbili.
Mtoa mada, hebu tufafanulie hapa!!
Mkuu hata wewe mchangiaji tusaidie - ni mamlaka gani yameruhusu nguvu hii iwepo na kwa minajiri gani?
Hivi bro hizi nguvu mnazoita za kiume zinapatikana kijiji gani mkuu? Na zinafananaje?View attachment 577698kiingereza inaitwa energy (refer energy drink) yani nishati.... Wanasema energy can neither be created no destroyed!