Nguvu iliyopo katika kichwa

Nahc kichwa kinaweza kuishi bila kiwiliwili.....
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Mambo mshanajr, nje kidogo ya mada...muda sasa umepita, siku moja nikagundua watu wangu niliowahi kuwa nao namba zao za simu lazima kuna namba moja ipo kwao wote, mfano tu yaani mfano: ww Mshana uliwahi kuwa na mahusiano na wadada 3 tofauti kwa wakati tofauti lakini ukiangalia namba zao simu mfano pia wa kwanza. 0755001001 wa pili 0784809925 wa tatu 0654 550348. Kwa hapa unaona namba sifuri imejirudia kwa watu wako, lakini pia hata wale unaojaribu kupoteza muda unajikuta pia kwenye namba zao za simu kuna namba 0 imo.
Swali langu je ni just a coincidence au kuna fumbo ndani yake ambalo linatakiwa kufumbuliwa!!?
Nini mtazamo wako?
 
Kuna kitu ndani yake hapo nitafafanua nikitulia niko kwenye task fulani ngoja niimalize
 
Its becoz sense zingine zote action potential ikiondoka, inakuwa less active tu, masikio usikivu hupungua, ndo maana ukilala ngumu kusikia ,ngozi kuhisi mguso. So ziko na their own way ya ku shut input, macho lazima izue miale ya mwanga kupenya ili kuacha kutengeneza image na kumbuka image kutengenezwa lazima itafsriwe , bado kichwa kitakuwa kinafanya kazi.

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi akili ni Macho.
 

hiyo ndio kila kitu aisee maana leo hii eddy mimi nikikatwa kichwa inabaki story tu kuwa nilikuwepo kichwa ndio kila kitu maana kuna fyuzi pia zipo humu kichwani zikifyatuka tuu mtu anaonekana mwendaazimu asiejielewa.
Fanya kama umekata mwili na umebakiza kichwa tu mbona bado hakiwezi kusavaivu
Kwanini useme ukiondoa kichwa na siyo ukiondoa kiwiliwili bado kichwa kitaishi kwa kuwa hicho ndiyo kila kitu
 
Jicho ni taa ya mwili
 
Kichwa kimebeba ubungo, na ubongo ni sehemu ya mwili. Kuna seli nyingi za ubongo na kila siku zinazalishwa. Pia ijulikane kuwa akili na ubongo ni vitu viwili tofaiti. Akili ni moja tu ambapo mtu anaweza kufanya jambo lolote katika hiyo akili, mfano, akachagua njia yake ya kukabili jambo fulani na kisha akaruhusu litengeneze seli katika ubongo wake na hapo sasa kupitia uti wa mgongo au mfumo wa mawasiliano mwilini, seli husika zitaingia kazini.

Nampenda Mungu jinsi alivyoniumba kwa namna ya ajabu na pekee.

Tujitambue na tumshukuru Mungu aliyetuumba kwa mfano wake wote waume kwa wanawake.
 
Una miliki kitu kinachoitwa nguvu za asili kwa king'eng'e ni supernatural powers, hiyo ni karama umepewa bure wengine huipata kwa kupitia mafunzo magumu ya meditation
Nguvu hiyo nilikuwa nayo nikiwa bado kijana mdogo. Kwa sasa nimepoteza[emoji24]
Nikiwa sekondari ya bweni ilifika wakati wanafunzi wenzangu walianza kuniogopa, maana nikikuwa na uwezo wa kuhisi kitu au mtu na akatokea muda mfupi baadae, hata kama hatujaonana miaka mingi, nikiona taswira yako kichwani mwangu, lazima tukutane muda huo huo
Tukitoroka shule bila sare, nikisema tubadili njia, watakao nifata wanakuwa salama, wakaidi ilikuwa lazima yawakute maana kwa wakati huo nakuwa nimemuona mwalimu mnoko kichwani mwangu.
Ilikuwa mtu akinionea na nikasononeka mtu huyo ilikuwa lazima limkute jambo baya, ili kuwanusuru nilijifunza namna ya kusamehe na kupotezea
Nilikuwa naweza kufika mahali kwa mara ya kwanza lkn najihisi ni kama nilikwishaenda mahali hapo kabla, na hata location ya maeneo muhimu kama chooni nk nakuwa najua bila kuelekezwa
Nikiangalia filamu zenye mahadhi ya kizamani najihisi kama nilishaishi hapo na nafsi yangu inaguswa sana na matukio ya hapo
KWA SASA NIMEPOTEZA NGUVU HIYO, NATAMANI KUIRUDISHA LKN SIJUI HATA NIFANYA KITU GANI NA NIANZIE WAPI
KAMA HAUTOJARI NAOMBA MWONGOZO WA KUNIREJESHA NILIPOKIWA[emoji120]
 
Anza meditation
Jitenge na material world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…