Tatizo lenu mbonaga nguruwe tuu ndo najisi, ila vitu vingine kama kwichikwichi hamuonagi unajisi wake. Tutoleeni unafiki wenu. Kama mnaishi kwa maandika ya kina Mussa oeni wake wengi, ueni wanawake wachawi, tendeni dhambi then mkatoe sadaka ya kuchinja kwa makuhani... Acheni kupotosha em..
Pole sana! Povu lote hilo sababu ya nguruwe?? Mungu amekupa vingapi vilivyo halali? Kwa jina lako hapo juu ongezea pale mbele "MLYAJOSE" (ie Mla chochote) itakufaa zaidi