Nguruwe wanauzwa

Hahaaa mkuu nawewe unaviuza hivi??
Mkuuu acha hawa nawafuga niliamua kujiongeza kidgo changamoto za maisha nikaona nitafute ka mradi kangu sema nime wapata kwa bei nafuuu sana nime w chukua lugalo kimoja elfu 25
 
Laanatu llah
 
yani mtu uzinzi unafanya, matusi unatukana, na dhambi zingine kedekede ila dhambi ya kula nguruwe tu, ndo mnaionaga kubwa.
 
Sio mara moja kwa wauzaji wa huyo mdudu kukiri kwenye mfungo wa ramadhani biashara yao huenda mrama nmemewaza kwa sauti hv vitu vinaingilianaje
 
Shimba achana na nguruwe utatengeneza pesa but kaa ukijua sheria ya mungu iko pale pale unless you blind your soul on Gods Commandments
Sikumbuki kifungu ila agano jipya wameruhusu huyu kiumbe kuliwa!!
 
hao wanyama ni haramu sabab wanafanyana kinyume na maumbile
 
Kwani nani amekuuliza kama ni haramu au sio?? Unataka kununua au hutaki??
kwan we huoni hapo wanavyo fanyana angalia vizur..wee mnyama ukitaka kumchinja mpaka umpige rungu..ndio maana vitab vilisema ni haramu
 
Naomba kwa mwenye Interest aje PM, ufafanuzi wa ziada na contact nitampatia

Hawa wengne wanaoibua mada zao achaneni nao. Kwani kama habari haikuhusu huku umefuata nini?? [HASHTAG]#Tusipangiane[/HASHTAG]
 
Wadau hakuna nyama tamu kama ya huyu mdudu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…