kwa kiswahili tafadhaliAstaghafillular radhim
Bora ungekaa kimya tu mkuu...Astaghafillular radhim
Sawa mkuuAna miezi 9
Hahaa utakesha hapo kusubiri jibu.kwa kiswahili tafadhali
kwani wanafanyejee mkuuKwa hicho nilichoona wanakifanya sitawanunua hao nguruwe.
Vitabu vimekataza kula huyu mnyama jamani!Tunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Tupo Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza. Bei ni nafuu sana, kama huna usafiri tunakuletea wenyewe (utalipia gharama kidogo za usafiri baada ya kupata mzigo wako).
Njoo PM kwa anayehitaji. Biashara ni endelevu
View attachment 487448 View attachment 487449
Utakuja kushangaa kugundua kuwa hata hao waandishi wa hivyo vitabu nao pengine walikuwa wadau wakubwa wa huyu mnyama. Who knows?[emoji125][emoji125][emoji125]Vitabu vimekataza kula huyu mnyama jamani!
Vitabu gani mkuuVitabu vimekataza kula huyu mnyama jamani!
We Prof. nawe vipi? Ukifuata mambo yote yaliyoandikwa katika Leviticus na Torati ya Musa hutaishi wewe. Si ajabu we ni Msabato mnachukua hichi mnaacha hichi. Kama mnafuata haya masheria ya Musa fuateni yote halafu tuone maisha yenu yatakavyokuwa....Nguruwe ni Najisi refer Bible book of Leviticus chapter 11 soma chapter yote