Heshima kwenu.
Kwa wale wanaohitaji nguruwe (piglets) wa kufuga majike kwa madume wanapatikana bagamoyo mapinga. bei elfu 50. wana umri wa miezi miwili na wana afya njema. mwenye kuhitaji anipm
Sms nakuja ndani ya saa moja kwani nipo katika gari ila hapa hauna namba ta simu kwani nami nahitaji sana hawa mifugo kwani kwetu sisi wakristo tunapenda nyama take yake......weka namba mkuu....

wote ni bei Moja..jike n Dume