Nguruwe si mchafu Bali mfugaji ndo mchafu

Nguruwe si mchafu Bali mfugaji ndo mchafu

Kumbe ni code ,namimi nime reply kawaida tu , nilivyorudia nikagundua hata reply yangu nayo imekaa ki code tu🤣
Ni code hiyo

Japo haya ni makosa yaliyofanyika kwenye Katiba yetu, kuruhusu mtu mmoja kuwa na nguvu kumzidi Mungu wa Mbinguni 🙌

Bahati mbaya sisi wengine umri umetutupa Mkono, tumebakiza miaka michache kuaga mashindano

Shida itabaki Kwa Vijana 🥲
 
Code sijaelewa sana but nguruwe ni Jf member na mfugaji ni melo . Sis mazingira yote tunaishi usafi tunaweza ukaksi tunaweza kwa asili nguruwe ni msafi maana chakula kiporo alichobakiza hali, anaetufuga ye ndo hajielewi kama anapenda usafi inabidi awe specific
 
Back
Top Bottom