barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Kweli Mama ni Mama,iwe kwa mnyama au hata kwa binadamu.Picha hii ionaonyesha nguruwe pori akimuokoa mtoto wake katika makucha ya chui na kuanza kupigana na chui mpaka chui akasalimu amri.Baada ya chui kusindwa pambano kwa kujeruhiwa mdomoni Nguruwe pori na mwana nguruwe wakasepa taratibuuuu huku Chui mate yakimtoka tu