Kujiangalia sio jambo
baya,kinachopigwa marufuku ni ile tabia ya kupenda kujiangalia sehemu za
siri,iwe ni kwasababu maalumu tu sio unajikodolea wee!
Napenda nikiwa mbele ya kioo mtupu, najipendaje sasa. Mungu fundi acha kabisa, sina cha kumpa zaidi ya kumshukuru.
Taratibu... angalia kesho usiseme "mating"..
hahahahaaa Baba V! nitamtafuta nimwambie kuwa kuna spelling alikosea lakini mahali tulivu
hahahahaaa Baba V! nitamtafuta nimwambie kuwa kuna spelling alikosea lakini mahali tulivu
ze english from ze moon.